Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo kwa Nikki Mbishi?
Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi. Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi. Kupitia Facebook Nay ameandika: “Hawa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo528 Feb
Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4
10 years ago
CloudsFM05 May
Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili
Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...
11 years ago
CloudsFM23 Jun
NAY WA MITEGO:MAFANIKIO YANGU YAMETOKANA NA MUZIKI
Kati ya wasanii wakubwa hapa Bongo waliopata mafanikio makubwa kupitia muziki ni Emmanuel Elibarik a.k.a Ney Wa Mitego,muziki wake umempa shoo nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.
Hivi karibuni msanii huyo kupitia mtandao wake wa instagram alipost picha ya nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe ,kwa mujibu wake alikaririwa akisema nyumba hiyo ina thamani ya shs milioni mia na themanini.
Ney wa mitego alisema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka jana na ni...
10 years ago
CloudsFM12 Nov
NAY WA MITEGO: SITAKI WATOTO WANGU WAFANYE MUZIKI
Staa wa Bongo Flava ambaye ana tuzo ya wimbo bora wa Hip hop, Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto wake wawe wanamuziki kama yeye. ‘’Mimi ni mwanamuziki na nimepata mafanikio kupitia kazi hii lakini sitaki watoto wangu wawe wanamuziki’’,alisema Nay Wa Mitego.
11 years ago
Bongo519 Jul
Uchambuzi: ‘Kwenu Vipi’ ya Stamina na Nay wa Mitego ni ‘Part 2′ ya ‘Muziki Gani’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
Bongo515 Dec
Nikki Mbishi: Wananchi elekezeni nguvu zenu kwa wasanii wengine pia, si Diamond tu!
9 years ago
Bongo514 Sep
Nay wa Mitego na Diamond wayapeleka mabishano yao ya muziki kwenye siasa, soma vijembe walivyotupiana