Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAY WA MITEGO:MAFANIKIO YANGU YAMETOKANA NA MUZIKI

Kati ya wasanii wakubwa hapa Bongo waliopata mafanikio makubwa kupitia muziki ni Emmanuel Elibarik a.k.a Ney Wa Mitego,muziki wake umempa shoo nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.Hivi karibuni msanii huyo kupitia mtandao wake wa instagram alipost picha ya nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe ,kwa mujibu wake alikaririwa akisema nyumba hiyo ina thamani ya shs milioni mia na themanini.Ney wa mitego alisema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka jana na ni...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BOZI: NAY WA MITEGO ANA LAANA YANGU

Deogratius Mongela
MSANII wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema kuwa migogoro yote inayomtokea aliyewahi kuwa mwandani wake, Emmanuel Elibariki ‘Nay’ ni kutokana na laana ya kumsambazia picha zake za utupu. Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema tatizo kubwa lililomkuta Nay kwa mpenzi wake Siwema kumfumania na njemba...

 

10 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO: SITAKI WATOTO WANGU WAFANYE MUZIKI

Staa wa Bongo Flava ambaye ana tuzo ya wimbo bora wa Hip hop, Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto wake wawe wanamuziki kama yeye. ‘’Mimi ni mwanamuziki na nimepata mafanikio kupitia kazi hii lakini sitaki watoto wangu wawe wanamuziki’’,alisema Nay Wa Mitego.

 

11 years ago

Bongo5

Uchambuzi: ‘Kwenu Vipi’ ya Stamina na Nay wa Mitego ni ‘Part 2′ ya ‘Muziki Gani’

Muziki Gani ya Nay wa Mitego na Diamond Platnumz iliwakilisha majibizano kati ya wasanii wanaofanya hip hop na wale wanaofanya Bongo Flava. Lakini kwakuwa majibizano kama hayo yanaendelea kila siku baina ya wale wanaofanya hip hop ambayo sasa imegawanyika pia, Stamina na Nay wameamua kuyaweka kwenye wimbo mpya ‘Kwenu Vipi’. Katika ngoma hii Stamina anawakilisha […]

 

10 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo kwa Nikki Mbishi?

Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi. Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi. Kupitia Facebook Nay ameandika: “Hawa […]

 

9 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego na Diamond wayapeleka mabishano yao ya muziki kwenye siasa, soma vijembe walivyotupiana

Kampeni za uchaguzi zimewatengenisha maswahiba kwenye muziki, Nay wa Mitego na Diamond Platnumz. Wawili hao waliohit na wimbo wao ‘Muziki Gani’ wapo kwenye kampeni za pande mbili zenye nguvu kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Ukawa na CCM. Na sasa ubishani wao umehamia kwenye siasa. Kupitia Instagram, Diamond amepost kipande cha video cha show yake ya […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Coke Studio ni moja ya mafanikio katika safari yangu ya muziki-Ben Paul

BEN 1

.Wanamuziki Ben Paul na Fid Q wanaoshiriki kwenye  onyesho la Coke Studio wakiwa katika picha ya pamoja na washabiki wao wakati wa uzinduzi wa onyesho hili jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

BEN 2

Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda cha Coca Cola Kwanza wakifuatilia onyesho la Coke Studio. BEN 3 Msimu wa Coke Studio umewahusisha pia wanafunzi mashuleni kuonyesha vipaji vyao kama anavyoonekana mwanafunzi akionyesha kipaji cha kucheza katika moja ya tamasha la Coke Studio lililofanyika mjini Mwanza...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer: ‘Muziki ni mkombozi kwenye familia yangu’, haya ni mafanikio aliyoyapata hadi sasa

Kwa Young Kiler muziki ni mkombozi mkubwa si tu kwake binafsi, bali pia kwa familia yake nzima. “Muziki ndio umefanya hadi sasa hivi familia yangu inaendelea kusurvive,” Young Killer alikiambia kipindi cha Chill na Sky. “Muziki ndio unatoa hata mtaji kwa dada zangu na mama yangu sasa hivi namjengea nyumba na ipo katika hatua nzuri. […]

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani