Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nay wa Mitego na Diamond wayapeleka mabishano yao ya muziki kwenye siasa, soma vijembe walivyotupiana

Kampeni za uchaguzi zimewatengenisha maswahiba kwenye muziki, Nay wa Mitego na Diamond Platnumz. Wawili hao waliohit na wimbo wao ‘Muziki Gani’ wapo kwenye kampeni za pande mbili zenye nguvu kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Ukawa na CCM. Na sasa ubishani wao umehamia kwenye siasa. Kupitia Instagram, Diamond amepost kipande cha video cha show yake ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO:MAFANIKIO YANGU YAMETOKANA NA MUZIKI

Kati ya wasanii wakubwa hapa Bongo waliopata mafanikio makubwa kupitia muziki ni Emmanuel Elibarik a.k.a Ney Wa Mitego,muziki wake umempa shoo nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.Hivi karibuni msanii huyo kupitia mtandao wake wa instagram alipost picha ya nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe ,kwa mujibu wake alikaririwa akisema nyumba hiyo ina thamani ya shs milioni mia na themanini.Ney wa mitego alisema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka jana na ni...

 

10 years ago

CloudsFM

NAY WA MITEGO: SITAKI WATOTO WANGU WAFANYE MUZIKI

Staa wa Bongo Flava ambaye ana tuzo ya wimbo bora wa Hip hop, Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto wake wawe wanamuziki kama yeye. ‘’Mimi ni mwanamuziki na nimepata mafanikio kupitia kazi hii lakini sitaki watoto wangu wawe wanamuziki’’,alisema Nay Wa Mitego.

 

11 years ago

Bongo5

Uchambuzi: ‘Kwenu Vipi’ ya Stamina na Nay wa Mitego ni ‘Part 2′ ya ‘Muziki Gani’

Muziki Gani ya Nay wa Mitego na Diamond Platnumz iliwakilisha majibizano kati ya wasanii wanaofanya hip hop na wale wanaofanya Bongo Flava. Lakini kwakuwa majibizano kama hayo yanaendelea kila siku baina ya wale wanaofanya hip hop ambayo sasa imegawanyika pia, Stamina na Nay wameamua kuyaweka kwenye wimbo mpya ‘Kwenu Vipi’. Katika ngoma hii Stamina anawakilisha […]

 

10 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo kwa Nikki Mbishi?

Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi. Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi. Kupitia Facebook Nay ameandika: “Hawa […]

 

10 years ago

Vijimambo

Nay wa Mitego Ampa 'Ukweli Mchungu' Diamond


Baada ya hapo jana msanii Diamond kumpondea kiana Nay wa Mitego kuhusu kile kilicho sababisha Nay na mpenzi wake Siwema watemane kuwa ni kwasababu Nay hajui kupetipeti, Nay wa Mitego nae ameibuka na dongo hili, mara baadaya kubandika pichi hiyo hapo juu."Jamani eeh?!! Embu tuongee ukweli, ivi uyu ndugu yetu @diamondplatnumz Angekua na hali iyo apo kwny picha, Je!? Ange weza kua na huyo Mwanamke apo @zarithebosslady na unadhani uyu #Zari angemkubali? Kama c vijisenti na huu umaarufu alio...

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego na Diamond waingia tena studio kupika kitu!

Collabo yao, ‘Muziki Gani’ ilikuwa miongoni mwa ngoma zilizotamba zaidi miaka miwili iliyopita, hivyo ukiwaona wameingia tena studio, hakuna shaka kuwa hit nyingi ipo njia. Nay wa Mitego na Diamond Platnumz wameingia studio kwa mara nyingine kutengeneza wimbo pamoja. Nay amepost picha akiwa na hitmaker huyo ambaye hivi karibuni alikuwa vekesheni visiwani Zanzibar na mpenzi […]

 

9 years ago

GPL

NAY WA MITEGO, PAM D WAFANYA UCHAFU KWENYE GARI

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani OHOOO! Wasanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mwanadada Pamela Daffa ‘Pam D’ wamenaswa wakidendeka ndani ya gari la Nay aina ya Nissan Murano. Tukio hilo lililonaswa ‘live’ na makachero wetu, lilijiri hivi karibuni usiku, maeneo ya Kinondoni Studio jijini Dar ambapo makachero wetu walikuwa wakirandaranda mitaani kusaka matukio ndipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani