Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki wa Eminem unaweza kukuongezea nguvu — Utafiti

eminem-1-736x414Muziki wa rapper Eminem unaweza kumuongezea mwanamichezo nguvu ya kufanya vizuri zaidi kwa asilimia 10, utafiti umebaini. Ngoma za rapper huyo zikiwemo Lose Yourself na Without Me – zimeonesha kuwa na uwezo wa kumuongezea mtu nguvu na ustahimilivu katika kipindi kirefu cha mazoezi. Watafiti walitumia miezi minne kufanya utafiti na muogeleaji wa Uingereza, Ben Hooper […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni

Msemaji wa kundi la Weusi Nickson Simon a.k.a Nikki Wa Pili ni miongoni mwa wasanii waliopanda kwenye jukwaa la Fiesta 2014 kwenye viwanja vya Leaders, Dar Jumamosi October 18 akiwa na Joh Makini, Lord Eyez na G-Nako. Nikki ambaye pia hakupitwa na show za wasanii wengine alikuwa na machache ya kusema kwa kile alichokiona kwenye […]

 

10 years ago

Bongo5

Bila kazi ya ziada ukitegemea muziki unaweza kuumbuka town — Stereo

Rapper Stereo amedai kuwa muziki wa Tanzania ni mgumu kiasi kwamba kama msanii hana shughuli zingine za kujiingizia kipato anaweza kuumbuka. Stereo ameambia Bongo5 kuwa licha ya kutangaza kujikita zaidi kwenye kufanya muziki baada ya kumaliza masomo yake, amegundua kuwa muziki hauwezi kuwa tegemeo la wasanii. “Ni kweli nimeongeza muda wangu zaidi kwenye muziki, ambao […]

 

9 years ago

Vijimambo

MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU


Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper  habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.

Weekend yako fanya kama unasahau stress za schedule vile na tupieni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Ulaji wa miraa unapunguza nguvu za kiume

Utafiti uliofanywa na wahadhiri wa chuo kikuu cha Moi nchini Kenya umebaini kuwa ulaji wa miraa unaathiri nguvu za kiume

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Virusi vya HIV vyapungua nguvu

Utafiti mkubwa wa kisayansi umeonyesha kuwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi vya HIV, vinapungua makali yake

 

9 years ago

Bongo5

Utafiti: Upungufu wa nguvu za kiume huongeza hatari ya kupoteza maisha mapema kwa asilimia 70

Anorgasmia

Ni kitu kinachofedhehesha ambacho huathiri shughuli ya mwanaume kitandani.

Anorgasmia

Lakini sasa, wanasayansi wameonya kuwa upungufu wa nguvu za kiume ambao kitaalam hujulikana kama (erectile dysfunction) unaweza kuwa na athari katika maisha ya mwanaume.

Wamebaini kuwa wanaume wenye matatizo hayo wana asilimia 70 ya kufa mapema. Hii ni kwasababu tatizo hilo lina uhusiano na magonjwa ya moyo.

Kwa kawaida, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ukichukuliwa kama kitu kinachoathiri watu wenye umri mkubwa....

 

11 years ago

Mwananchi

Swahili Music Band; Inapiga muziki uliofanyiwa utafiti, Mkanyia akiiongoza

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na wimbi la wanamuziki kuanzisha bendi zao kwa lengo la kujitegemea na kujijenga kiuchumi, pia kutoa burudani kwa jamii.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: 93.7 E-FM radio Station na michuzi blog zaunganisha nguvu kunogesha libeneke la michezo, muziki na utamaduni

Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group  (MMG) Ankal Muhidin Issa Michuzi (kulia) na Meneja Maslahi na Sheria wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm Bw. Denis Ssebo  wakipeana mikono baada ya  kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano  kwenye hafla fupi zilizofanyika Jumatano Mei 6, 2015 kwenye ofisi za kituo hicho cha redio Mikocheni jijini Dar es salaam.

Pamoja na mambo mengine MMG na Kituo cha redio cha 93.7 E-FM kuanzia sasa watashirikiana katika mambo ya habari, matangazo na shughuli...

 

9 years ago

GPL

JUSTINE BIEBER AVUNJA REKODI YA EMINEM

Mshkaji anayefanya poa kwenye Gemu la Muziki wa RnB Dunia, Justine Bieber . New York, Marekani MSHIKAJI anayefanya poa kwenye Gemu la Muziki wa RnB Dunia, Justine Bieber amevunja rekodi kwa kuwa Msanii Bora wa Muda Wote wa MTV EMAs baada ya kujinyakulia tuzo sita ambazo ni, Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume (Best Male Awards), Wimbo Bora wa Kushirikishana (Best Collaboration), Msanii Bora wa Kanada (Best Canadian Act), Msanii Bora...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani