Utafiti: Upungufu wa nguvu za kiume huongeza hatari ya kupoteza maisha mapema kwa asilimia 70
Ni kitu kinachofedhehesha ambacho huathiri shughuli ya mwanaume kitandani.
Lakini sasa, wanasayansi wameonya kuwa upungufu wa nguvu za kiume ambao kitaalam hujulikana kama (erectile dysfunction) unaweza kuwa na athari katika maisha ya mwanaume.
Wamebaini kuwa wanaume wenye matatizo hayo wana asilimia 70 ya kufa mapema. Hii ni kwasababu tatizo hilo lina uhusiano na magonjwa ya moyo.
Kwa kawaida, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ukichukuliwa kama kitu kinachoathiri watu wenye umri mkubwa....
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mitindo ya maisha na upungufu wa nguvu za kiume
Wanaume wana kawaida ya kupenda kufahamika kwa umahiri wao kimwili na matokeo yake hujiita kwa majina mbalimbali.
9 years ago
MichuziLISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Kufahamu kwa kina kuhusu tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume, ni muhimu sana kutembelea link hii hapa chini.http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.htmlLISHE YA NGUVU ZA KIUME NI NINI ?Lishe ya nguvu za kiume ni lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za ...
10 years ago
GPLUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Tatizo hili kwa kawaida huwapata watu wenye umri mkubwa hasa kuanzia umri wa miaka sitini na wagonjwa wenye magonjwa sugu kama shinikizo la damu, kisukari, kansa, kifua kikuu, ukimwi na wale wanaotumia madawa kwa muda mrefu. Mfano baadhi ya dawa za shinikizo la damu, moyo, kansa, vidonda vya tumbo na nyingine nyingi ambazo hazijafanyiwa uchunguzi wa kisayansi hasa baadhi ya dawa za asili huweza kukuathiri kabisa badala ya...
10 years ago
GPLUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAOTOKANA NA KISUKARI (DIABETIC NEPHROPATHY)
Yapo madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu na mojawapo ni ugonjwa wa figo (Diabetic Nephropathy) pamoja na ukosefu wa nguvu za kiume.Matatizo haya huwapata watu wenye kisukari na hutokea muda mrefu baada ya mtu kugunduliwa kuwa na maradhi ya kisukari. Tutaeleza baadaye kwa nini wenye ugonjwa wa kisukari wanakuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, lakini leo tuangazie tatizo la figo ambayo ina mamia kwa...
10 years ago
GPLUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAOTOKANA NA KISUKARI (DIABETIC NEPHROPATHY) -2
BAADA ya kueleza kirefu kuhusu ugonjwa huu leo tuhitimishe kwa kufafanua tiba yake lakini pia nichukue nafasi kama mtaalamu kutoa ushauri. Endelea. Matibabu
Lengo kuu la matibabu ni kufanya figo zisiendelee kuathirika. Mojawapo ya njia bora kabisa za kusaidia hilo ni kudhibiti kiwango cha shinikizo la damu kuwa chini ya 130/80 mmHg. Zipo dawa husaidia tatizo hili kama vile zile za jamii ya Angiotensin Converting Enzyme...
10 years ago
MichuziUHUSIANO ULIOPO KATI YA PUNYETO NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
UKOSEFU ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafrisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa muda ...
Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafrisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa muda ...
10 years ago
MichuziUHUSIANO ULIOPO KATI YA PUNYETO NA TATIZO LA UKOSEFU / UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafrisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto ...
10 years ago
MichuziDAWA YA JIKO KUPONYESHA KABISA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Je. Unasumbuliwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume ?· Unahitaji tiba ya uhakika kwa ajili ya tatizo lako ?KAMA JIBU LAKO NI NDIO BASI HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO.NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC ni duka la kuuza dawa mbalimbali za asili.Tunakujulisha kuwa...
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Utafiti:Ulaji wa miraa unapunguza nguvu za kiume
Utafiti uliofanywa na wahadhiri wa chuo kikuu cha Moi nchini Kenya umebaini kuwa ulaji wa miraa unaathiri nguvu za kiume
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania