Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWZZZZZ: 93.7 E-FM radio Station na michuzi blog zaunganisha nguvu kunogesha libeneke la michezo, muziki na utamaduni

Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group  (MMG) Ankal Muhidin Issa Michuzi (kulia) na Meneja Maslahi na Sheria wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm Bw. Denis Ssebo  wakipeana mikono baada ya  kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano  kwenye hafla fupi zilizofanyika Jumatano Mei 6, 2015 kwenye ofisi za kituo hicho cha redio Mikocheni jijini Dar es salaam.

Pamoja na mambo mengine MMG na Kituo cha redio cha 93.7 E-FM kuanzia sasa watashirikiana katika mambo ya habari, matangazo na shughuli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA


Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ahaidi kusimamia kazi za Wasanii kwa nguvu zote

nape-7939

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na wadau mbalimbali kutoka BASATA,COSOTA,BODI YA FILAMU,CMEA NA WASANII jana jijini Dar es Salaam juu ya kuendelea kusimamia haki ya wasanii  na kuhakikisha kila msanii anapata anachostahili kupitia Sanaa yake na kwamba serikali  imeweka nguvu kubwa katika eneo hilo.

waziri wa viwanda-7920

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (kulia) akiongea waandishi wa habari kuhusu vyombo vya habari(television na Redio) kuanza kulipia...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZAUNGANISHA NGUVU KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO.

Maswala ya udukuzi yameendelea kushika kasi katika maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo mataifa mbali mbali yameamua kuunganisha nguvu ya pamoja kupambana na uhalifu mtandao. Katika "UCHAMBUZI" nilio uandikia nilibainisha umuhimu wa kupata chombo kimoja chenye jukumu la kupambana na uhalifu mtandao ambacho kitatoa nguvu kubwa ili kuweza kukabiliana na hali mbaya ya uhalifu mtandao hivi sasa.
Kundi jipya lenye makao yake barani ulaya linalounganisha pamoja nchi wanachama wa bara ulaya...

 

10 years ago

Habarileo

Nchi za EAC zaunganisha nguvu kukabili ebola

MAWAZIRI wa Afya wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameweka mikakati madhubuti ya kupambana na ugonjwa wa ebola ili ugonjwa huo usiweze kuingia kirahisi katika nchi hizo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni

pinda

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

pinda 2

Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...

 

10 years ago

Michuzi

KHERI YA KUZALIWA KWA MWANA LIBENEKE GEOFREY WA PAMOJA BLOG



Leo ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG .
Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana...

 

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MDAU FRANCIS GODWIN BLOG LAREJEA HEWANI BAADA YA KUPATWA NA KWIKWII

Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima:: Uongozi  wa mtandao  wa www.francisgodwin.blogspot.com unapenda  kuwaomba  radhi  wadau  wake  kutokana na usumbufu mkubwa  uliojitokeza kwa kipindi cha  zaidi ya  wiki moja  sasa kwa mtandao huo kutokuwepo hewani ,ila tunapenda  kuwataarifa  kuwa  kuanzia leo mtandao huo wa francisgodwinblog upo hewani hivyo endelea  kupata habari na matukio mbali mbali kama  ilivyokuwa awali kwa  kutembelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani