Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KHERI YA KUZALIWA KWA MWANA LIBENEKE GEOFREY WA PAMOJA BLOG



Leo ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG .
Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHUKURANI SANA KWA WOTE WALIONITAKIA KHERI YA SIKU YA KUZALIWA

Dj Luke Joe
Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa timu nzima ya Vijimambo na wale wote waliotumia muda wao kuniandikia maneno ya kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa, kwenye Vijimambo, facebook na wale wote walionitumia ujumbe mfupi kwenye SMS, Whatsup na kupiga simu. bila kuwasahau familia yangu.
Nimeguswa sana na upendo wenu napenda kuchua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kwa yote maneno mazuri yaliyoonyesha upendo wenu juu yangu nashukuru sana na mwenyezi Mungu awazidishie Asnte.

 

9 years ago

Vijimambo

KHERI YA SIKU YA KUZALIWA

Rasheed Semdaia kutoka Maryland, USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

 

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MDAU FRANCIS GODWIN BLOG LAREJEA HEWANI BAADA YA KUPATWA NA KWIKWII

Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima:: Uongozi  wa mtandao  wa www.francisgodwin.blogspot.com unapenda  kuwaomba  radhi  wadau  wake  kutokana na usumbufu mkubwa  uliojitokeza kwa kipindi cha  zaidi ya  wiki moja  sasa kwa mtandao huo kutokuwepo hewani ,ila tunapenda  kuwataarifa  kuwa  kuanzia leo mtandao huo wa francisgodwinblog upo hewani hivyo endelea  kupata habari na matukio mbali mbali kama  ilivyokuwa awali kwa  kutembelea...

 

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

Kheri ya siku ya kuzaliwa kaka yangu kipenzi Noah Manongi!



                     Soma zaidi

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: 93.7 E-FM radio Station na michuzi blog zaunganisha nguvu kunogesha libeneke la michezo, muziki na utamaduni

Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group  (MMG) Ankal Muhidin Issa Michuzi (kulia) na Meneja Maslahi na Sheria wa Kituo cha redio cha 93.7 E-Fm Bw. Denis Ssebo  wakipeana mikono baada ya  kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano  kwenye hafla fupi zilizofanyika Jumatano Mei 6, 2015 kwenye ofisi za kituo hicho cha redio Mikocheni jijini Dar es salaam.

Pamoja na mambo mengine MMG na Kituo cha redio cha 93.7 E-FM kuanzia sasa watashirikiana katika mambo ya habari, matangazo na shughuli...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE HENRY KAPINGA MMILIKI WA KAPINGAZ BLOG

Henry Kapinga, mmiliki wa KAPINGAZ Blog
Leo tarehe 08/12 ndio siku ambayo ukurasa wa historia ya maisha yangu ulifunguliwa rasmi, ni siku ambayo nilizaliwa, napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniweka mpaka leo na vilevile kuwashukuru wazazi wangu kwa kunilea katika maisha yangu ya utotoni mpaka nilipoanza kujitegemea. 
Napenda kuchukua fursa hii pia kuwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kunisapoti kwa mambo mbalimbali ili mradi nifikie pale...

 

5 years ago

CCM Blog

CCM BLOG YAMTAKIA MZEE MSEKWA KATIKA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE

 CCM BLOG yamtakia Mzee Pius Msekwa kwa kusherehekea kumbukizi ya Siku ya kuzaliwa kwake. ambapo leo atimiza miaka 85 ya kuzaliwa kwake.

Pius Msekwa (amezaliwa 9 Juni 1935) ni mwanasiasa. Kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 alikuwa spika wa Bunge la Tanzani
 Nyadhifa alizowahi kuwa Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) kati ya mwaka 1999-2002, pia Mjumbe wa Kamati ya Kurekebisha Sekta ya Sheria kati ya mwaka 1993-1994 na Mjumbe wa Tume ya Rais ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani