CCM BLOG YAMTAKIA MZEE MSEKWA KATIKA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE

CCM BLOG yamtakia Mzee Pius Msekwa kwa kusherehekea kumbukizi ya Siku ya kuzaliwa kwake. ambapo leo atimiza miaka 85 ya kuzaliwa kwake.
Pius Msekwa (amezaliwa 9 Juni 1935) ni mwanasiasa. Kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 alikuwa spika wa Bunge la Tanzani Nyadhifa alizowahi kuwa Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) kati ya mwaka 1999-2002, pia Mjumbe wa Kamati ya Kurekebisha Sekta ya Sheria kati ya mwaka 1993-1994 na Mjumbe wa Tume ya Rais ya...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
CCM BLOG YAMTAKIA HERI MZEE MSEKWA KATIKA KUMBUKIZI YA MIAKA 85 YA KUZALIWA KWAKE

Pius Msekwa (alizaliwa Juni 9, 1935) ni ambapo mwaka 1995 hadi 2005 alikuwa spika wa Bunge Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa la Tanzania.
5 years ago
CCM Blog
MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA AFUTA MPANGO WA KUMBUKIZI YA KUZALIWA KWAKE

Kwa kawaida mtawala wa Uingereza anasherehekewa siku ya kuzaliwa mara mbili kila mwaka.
Moja ni siku yake halisi ya kuzaliwa, na nyingine ni siku ya kusherehekea kuzaliwa kwa Malkia iliyowekwa na serikali.
Kutokana na hali mbaya ya maambukizi ya virusi vya Corona, malkia Elizabeth ameamua kufuta sherehe za kutoa heshima ya mizinga mwaka huu.
5 years ago
CCM BlogMAKAMU WA RAIS CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) ATOA NENO KATIKA SIKU YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA MWASISI WA UUGUZI DUNIANI
Niwaase Wasanii na watu wengine maarufu kuwa mstari wa mbele katika kuelimisha jamii kwenda kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya badala ya kuwatisha kuwa Wauguzi ni watu wabaya Kama alivyofanya msanii mmoja hivi alipomwambia mke wake wakati anaenda...
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMJULIA HALI MZEE ISRAELI NAWINGA KIJIJINI KWAKE MASAMA LOSAA WILAYANI HAI.

10 years ago
Michuzi
KHERI YA KUZALIWA KWA MWANA LIBENEKE GEOFREY WA PAMOJA BLOG

Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana...
10 years ago
MichuziMICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA KUMI YA KUANZISHWA KWAKE
10 years ago
Michuzi08 Dec
HEPI BESDEI YA KUZALIWA MWANALIBENEKE HENRY KAPINGA MMILIKI WA KAPINGAZ BLOG

Leo tarehe 08/12 ndio siku ambayo ukurasa wa historia ya maisha yangu ulifunguliwa rasmi, ni siku ambayo nilizaliwa, napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniweka mpaka leo na vilevile kuwashukuru wazazi wangu kwa kunilea katika maisha yangu ya utotoni mpaka nilipoanza kujitegemea.
Napenda kuchukua fursa hii pia kuwashukuru wale wote ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kunisapoti kwa mambo mbalimbali ili mradi nifikie pale...
11 years ago
GPLDIDA ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE
11 years ago
Michuzi20 May
TAARIFA KWA WADAU WA FRANCISGODWIN BLOG (MZEE WA MATUKIODAIMA)
Hivyo tunaomba wadau wetu kwa sasa mnaweza kupata habari na matukio mbali mbali katika mitandao...