Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHUKURANI SANA KWA WOTE WALIONITAKIA KHERI YA SIKU YA KUZALIWA

Dj Luke Joe
Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa timu nzima ya Vijimambo na wale wote waliotumia muda wao kuniandikia maneno ya kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa, kwenye Vijimambo, facebook na wale wote walionitumia ujumbe mfupi kwenye SMS, Whatsup na kupiga simu. bila kuwasahau familia yangu.
Nimeguswa sana na upendo wenu napenda kuchua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kwa yote maneno mazuri yaliyoonyesha upendo wenu juu yangu nashukuru sana na mwenyezi Mungu awazidishie Asnte.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KHERI YA SIKU YA KUZALIWA

Rasheed Semdaia kutoka Maryland, USATimu ya Vijimambo inakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa

 

9 years ago

Vijimambo

Kheri ya siku ya kuzaliwa kaka yangu kipenzi Noah Manongi!



                     Soma zaidi

 

10 years ago

Michuzi

KHERI YA KUZALIWA KWA MWANA LIBENEKE GEOFREY WA PAMOJA BLOG



Leo ni siku ya kuzaliwa blogger Geofrey Adroph kwa jina maarufu ni PAMOJA BLOG .
Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 06 mwezi wa 12 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Leo Mei 3 ni siku ya kuzaliwa mdau Mh.Shy rose Bhanji, hongera sana

IMG-20140504-WA0009Mh. Shy rose Bhanji  ambaye leo Mei 3, ametimiza miaka kadhaa. Happy Birthday  Shy rose.

Na Andrew Chale, Modewji blog

Leo ni siku muhimu kwa mdau mkubwa wa Mo blog,  Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy Rose Bhanji  ambaye ametimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2015.

Mtandao  huu wa Modewji blog unamtakia kila lakheri katika haarakaati zake mbalimbali za ujenzi wa Taifa na Dunia kwa ujumla. Hongera sana ‘Happy Birthday’  ‘Happy Birthday Shy rose.

11193429_836337136403159_7495161636993222906_nMy birthday wish...

 

9 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO NA ASYA IDAROUS KHAMSINI IWATOA SHUKURANI SANA KWA MANANC


 Watanzania wa North Carolina wakipata picha ya kumbukumbu kwenye khanga party iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 mji wa Durham, North C Mashabiki wa mama wa mitindo wakipata picha ya kumbukumbu na Asya Idarous Khamsini  Picha ya kumbukumbu Mashabiki wakiselebuka
 Ni hapi kwa kwenda mbele Watanzania wa NC wakipata picha ya pamoja kwenye Khanga partyKitambaa cheupe

 

10 years ago

Michuzi

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwqa na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata. Tuungane Tuiline Tanzania Yetu

TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR...

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK CITY YAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KWENYE PARTY YA NGUVU YA MIAKA 38 TANGU KUZALIWA KWA CCM -JUMAMOSI FEB 21 !

Hii itakuwa ni Sherehe ya aina yake kufanyika katika Jiji la Wajanja Big Apple,Watu wote bila kujali Itikadi zao wanaalikwa kwani hii ni Birthday Bashhh na sio mkutano wa kisiasa,Njoo uburudike na watanzania wenzako kutoka states mbali mbali pamoja na Nje ya nchi,kutakuwepo na Burudani kutoka kwa wasanii maarufu kutoka Tanzania,Habari zaidi za Wasanii na Mgeni Rasmi kufuata.
                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu



                          
           ...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Shukurani (Thanksgiving), Marehamu Wote na Uhuru wa Tanzania, Novemba 30 2014, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa WoteImg3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikwa nia ya Kutoa Shukurani (Thanksgiving), Kuwaombea Marehemu Wote na Kusheherekea Uhuru wa Tanzania na Kenya
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 30 Novemba 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani