Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tangazo la Misa - Shukurani (Thanksgiving), Marehamu Wote na Uhuru wa Tanzania, Novemba 30 2014, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa WoteImg3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikwa nia ya Kutoa Shukurani (Thanksgiving), Kuwaombea Marehemu Wote na Kusheherekea Uhuru wa Tanzania na Kenya
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 30 Novemba 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika leo Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini MarekaniPadri Honest Munishi akiongoza Misa ya Thanksgiving iliyofanyika leo Jumampili Nivemba 30, 2014 Baltimore, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mhe. Liberata Mulamula akitoa shukurani zake kwa mapadri waliongoza misa ya Thanksgiving na kusisitiza umoja...

 

10 years ago

GPL

MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND‏

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika jana Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini Marekani Padri Honest Munishi akiongoza Misa ya Thanksgiving iliyofanyika jana Jumampili Nivemba 30, 2014 Baltimore, Maryland. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mhe. Liberata Mulamula akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

SHUKURANI NA MISA YA KUMALIZA MSIBA

MAREHEMU RICHARD AZZA MGAYA 04. 04 , 1939 - 22. 05,  2015. 
Familia ya Marehemu Mzee Richard Azza Mgaya inawaarifu ndugu, jamaa, marafiki na jirani kwamba shughuli ya kumaliza msiba itafanyika Jumapili hii ya tarehe 02 agosti, 2015 nyumbani kwa marehemu Njiro, Arusha.Misa ya shukurani na sadaka itaanza saa tatu za asubuhi na baadaye chakula cha mchana.Familia inatoa shukurani kwa wote walioshiriki kikamilifu katika shughuli za mazishi toka mwanzo hadi mwisho wa kumuweka kwenye nyumba yake ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MISA YA SHUKURANI LEO JUMAPILI

Tunapenda kuwataarifu kuwa ibada ya kumuombea marehemu kaka yetu Raymond Malima itakuwa leo jumapili Oct/11/2015, saa kumi na mbili jioni (6:00pm) katika address ifuatayo:14428 Bradshaw Dr, Silver Spring MD 20905.Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Grace Meela 301-520-6303Jacque Korassa - 240-706-6831Aunty Lilly-301- 879-8104Kija Lupemba 240-353-1148
“I shall go to him, but he shall not return to me.”‭2 Samwel...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA SHUKURANI JUMAPILI DMV

Ukiwa kama ndugu, rafiki na jamaa wa karibu wa Michael Kiangio napenda kukufahamisha kuwa ndugu yetu, mpendwa wetu na rafiki yetu alipoteza baba yake mzazi last month nyumbani Tanzania.
Tunakukaribisha ushiriki nasi kwenye Misa ya shukrani ya kumuombea baba wa Michael itakayofanyika tarehe 19th April katika kanisa la The way of cross gospel ministry from 2 pm to4pm. address 405 Riggs rd NE Washington DC.
for more information call me at 443-636-1782Thanks.

 

10 years ago

Vijimambo

Misa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa

MISA YA Shukurani Kutimiza siku Arubaini (40) ya MAREHEMU Mzee Samuel Mtabala LUANGISA- New York
Saturday August 8, 2015.

Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya Shukurani au Arubaini ya Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83),

Siku: Saturday August 8th, 2015
Saa: 4pm
Address: Luangisa Residence: 374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Misa itaongozwa na Mchungaji Mama Butiku
Mpe taarifa mwenzako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani