Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tangazo la Misa - Kuadhimisha Miaka Tano ya Wakatoliki DMV, October 26 2014


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.

IMG_9991Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015. IMG_9954Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo. IMG_9952Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada. IMG_9956Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto. IMG_9975Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo. IMG_9977Bi.Aireen na wanawe katika ibada. IMG_9988Katibu Dan Stephen akitoa matangazo. IMG_9998Bw.Patrick...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Kuadhimisha Muungano, Capuchin College, April 19, 2015, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahiliKusheerekea Sikukuu ya Muungano 2015
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 19 Aprili 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Shukurani (Thanksgiving), Marehamu Wote na Uhuru wa Tanzania, Novemba 30 2014, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa WoteImg3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikwa nia ya Kutoa Shukurani (Thanksgiving), Kuwaombea Marehemu Wote na Kusheherekea Uhuru wa Tanzania na Kenya
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 30 Novemba 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...

 

10 years ago

GPL

VIJANA WAKATOLIKI WAFANYA MISA UFUKWENI

Askofu Eusebius Nzigilwa akiwaasa vijana (Hawapo pichani). ….akiwa na viongozi wengine.…

 

11 years ago

Michuzi

DMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV

Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa na mauati alipokua amekwenda Tanzania march 7, 2014 mwaka huu. Kushoto ni mume wa marehemu Chris Muhoka na kulia Martin Koroso aliyekuja toka Michigan  Watoto wa marehemu.  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

kumbukumbu na tangazo la misa

Mzee Alfredy Raphael Kiswaga Baba leo unatimiza miaka kumi na tano toka ulipotutoka. Mtoto wak Fredy Kiswaga, Kaka na dada pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na majirani wanakukumbuka siku ya leo, huku wakiwa na imani kuwa japo kimwili haupo nao, lakini kimawazo na upendo viko pale pale.Siku ya Jumapili Oktoba 12, 2014  kutakuwa na misa ya kumbukumbukatika Kanisa Katoliki la Mwenge la Mt. Maximilian saa mbili asubuhi. Nyote mnakaribishwa kumkumbuka na kumuombea Mzee Alfredy Raphael...

 

11 years ago

Michuzi

MISA YA MSIBA DMV

Dada Sarah Mushi wa Ashburn, VA anapenda kuwajulisha na kuwaomba mjumuike nae katika misa ya mpendwa mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi itakayofanyika Jumamosi June 7, 2014 katika kanisa OUR SAVIOR'S WAY LUTHERAN CHURCH liliko Ashburn.
Our Savior's Way Lutheran Church, 43115 Waxpool Rd, Ashburn, VA 20148 Ibada itaanza saa 6:00 mchana. Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na David Kisanga: 703-932-0540 Mercy Ligate: 240-461-9477. Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa ya Mrs Theonestina Rweyemamu - New York

Familia ya Nestory Mwombeki Rweyemamu inapenda kuwaalika wote kwenye misa ya kutimiza mwaka mmoja tangu kifo cha mama yao Theonestina Rweyemamu.

Shughuli itafanyika tarehe 1 Februari, 2015 siku ya jumapili, kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni.

Anuani : 40 East Sidney Avenue, Mount Vernon NY 10550 (COMMUNITY ROOM).

Wote mnakaribishwa.

Asante
Mungu wetu azidi kukubariki na wewe.Doris Rweyemamu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani