Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WAKATOLIKI WAFANYA MISA UFUKWENI

Askofu Eusebius Nzigilwa akiwaasa vijana (Hawapo pichani). ….akiwa na viongozi wengine.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.

IMG_9991Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015. IMG_9954Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo. IMG_9952Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada. IMG_9956Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto. IMG_9975Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo. IMG_9977Bi.Aireen na wanawe katika ibada. IMG_9988Katibu Dan Stephen akitoa matangazo. IMG_9998Bw.Patrick...

 

10 years ago

Dewji Blog

Edgar Mutta na wazazi wake wafanya misa ya shukurani

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupona maradhi yaliyokua yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario. IMG_6944 Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea. Kulia ni Adrian Mutta na mama yake wakiendelea na misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 27, 2014. Judith na Liberata (kulia)...

 

10 years ago

GPL

EDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI‏

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario. Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya…

 

10 years ago

Dewji Blog

Familia ya Edward Moringe Sokoine wafanya misa ya kumkumbuka baba yao

 

Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake Monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.

Wake wa aliye kuwa Waziri mkuu  wa Tanzania  hayati Edward Moringe Sokoine, wakiweka  mashada ya maua kwenye kaburi la  mume wao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...

 

10 years ago

Michuzi

EDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI,Maryland nchini Marekani

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokua yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea.Kulia ni Adrian Mutta na mama yake wakiendelea na misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 27, 2014.Judith na Liberata (kulia) wakifuatilia...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPHA wafanya kongamano la kupinga matumizi ya bidhaa za Tumbaku kwa vijana wadogo

Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph).

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam] Chama cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule  msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na  utumiaji wa bidhaa za Tumbaku...

 

10 years ago

Dewji Blog

NIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana

tafiti

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya  Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR)  tawi la Mwanza mapema  Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya Pombe kwa vijana kufuatia utafiti uliofanywa katika maeneo kadhaa ya Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Kilimanjaro.

Warsha hiyo iliwakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Madaktari,  wakuu wa idara za Polisi barabarani, wakuu wa Taasisi za Afya na mashirika ya kupiga vita matumizi ya vileo na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakatoliki na upangaji uzazi

Kanisa Katoliki limekuwa likipinga upangaji uzazi na wengi wa waumini wake huzingatia hili licha ya kampeni zinazowahimiza watu watumie njia mbalimbali za kupanga uzazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani