Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana

tafiti

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya  Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR)  tawi la Mwanza mapema  Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya Pombe kwa vijana kufuatia utafiti uliofanywa katika maeneo kadhaa ya Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Kilimanjaro.

Warsha hiyo iliwakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Madaktari,  wakuu wa idara za Polisi barabarani, wakuu wa Taasisi za Afya na mashirika ya kupiga vita matumizi ya vileo na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAFANYA MKUTANO ELEKEZI KWA WADAU WAKE JIJINI MWANZA

Baadhi ya wateja wakubwa wa benki ya NMB na wafanyabiashara jijini Mwanza wakimsikiliza meneja wa mahusiano wa biashara,Wogofya Mfalamagoha wakati wa mkutano elekezi kwa wateja wa benki hiyo uliofanyika katika Chuo cha Benki Kuu jijini Mwanza leo.

 

9 years ago

Habarileo

Ahimiza wadau kuepusha madhara kwa wafanyakazi wa majumbani

KAMISHNA wa Kazi, visiwani hapa, Ali Ibaraja amesema ipo haja ya wadau wa kazi kushirikiana ili kuepusha kutokea kwa madhara mbalimbali yanayowapata wafanyakazi wa majumbani.

 

9 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yapongezwa kwa ushikiano inaotoa kwa wadau wa Vijana

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Volountary Service Overseas (VSO) Dkt.Philip Goodwin alipo mtembelea ofisini kwake jana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuishukuru Serikali kwa ushirikiano inaowapa katika kufanikisha majukumu yao. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) akielezea jambo wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO JIJINI MWANZA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa wadau wa mifugo kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza Septemba 5, 2014.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana (kushoto) baada ya kufungua mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza, Septemba 5, 2014. Kulia ni mfugaji na Mkulima kutoka Kiteto. Papian Emmanuel.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Kaimu Mkuu wa Mwanza na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa GEPF wafanya mkutano na wadau Arusha wajadili maswala mbalimbali ya mfuko huo

unnamed

MKUU  wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao ya kustaafu (GEPF) sambamba na mabadiliko katika mfuko huo.(Habari Picha na Pamela Mollel wa http://jamiiblog.co.tz/)

unnamed (1)

Meneja masoko wa mfuko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika mkutano na wadau kutoka sekta mbalimbali uliofanyika jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Madhara ya Nyaope kwa vijana Afrika Kusini

Dawa za kulevya zenye uraibu mkubwa zinaendelea kuikumba AfriKa Kusini hasa kwenye mitaa inayokaliwa na watu maskini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani