Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA NMB YAFANYA MKUTANO ELEKEZI KWA WADAU WAKE JIJINI MWANZA

Baadhi ya wateja wakubwa wa benki ya NMB na wafanyabiashara jijini Mwanza wakimsikiliza meneja wa mahusiano wa biashara,Wogofya Mfalamagoha wakati wa mkutano elekezi kwa wateja wa benki hiyo uliofanyika katika Chuo cha Benki Kuu jijini Mwanza leo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO JIJINI MWANZA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa wadau wa mifugo kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza Septemba 5, 2014.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana (kushoto) baada ya kufungua mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza, Septemba 5, 2014. Kulia ni mfugaji na Mkulima kutoka Kiteto. Papian Emmanuel.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Kaimu Mkuu wa Mwanza na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MWANZA NA MUSOMA

 Wanafunzi  wa Shule ya Msingi Kiseke Wilaya  ya Ilemela Mkoani Mwanza,  wakiwa wameketi kwenye madawati  64 yenye thamani  ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Benki ya NMB kama sehemu ya msaada kwa shule hiyo.Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAAFISA WAKE JIJINI DAR LEO

 Maafisa ufuatiliaji wa TASAF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga (aliyeketi katikati) baada ya kufungua semina elekezi jijini DSM  Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akisisitiza jambo wakati alipofungua semina elekezi kwa maafisa ufuatiliaji (TA) iliyofanyika kwenye ukumbi wa CEEMI jijini DSM.  Baadhi ya Maafisa ufuatiliaji ambao wanatarajiwa kuanza kazi katika halmashauri kadhaa za wilaya nchini wakimsikiliza mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI KWA MILIONI 75

Benki ya NMB leo imekabidhi hundi ya shilingi Milioni 75 kama udhamini wa mkutano wa mwaka wa maafisa wa Polisi nchini unaendelea mjini Dodoma katika ukumbi wa Kimataifa wa St Gasper.
Mkutano huo ambao unajumuisha makamishna, makamanda wa mikoa ya Tanzania bara na Visiwani pamoja na maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi hilo kutoka Makao makuu, umezinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe.
Akizungumza katika uzinduzi huo , Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

NIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana

tafiti

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya  Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR)  tawi la Mwanza mapema  Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya Pombe kwa vijana kufuatia utafiti uliofanywa katika maeneo kadhaa ya Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Kilimanjaro.

Warsha hiyo iliwakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Madaktari,  wakuu wa idara za Polisi barabarani, wakuu wa Taasisi za Afya na mashirika ya kupiga vita matumizi ya vileo na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Swala Energy yafanya tafrija na wadau baada ya mkutano mkuu wa mwaka AGM

A

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swala Energy Ltd, David Ridge akizungumza na Wadau wa Swala wakati wa tafrija mchapalo(cocktail) iliyofanyika jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki, Tafrija hiyo ilifanyika baada ya mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni hiyo AGM.

B

Katibu wa kampuni ya Swala Energy Ltd, Yohana Mganga (katikati) akiongea na meneja uendeshaji wa Swala Frank Whitehead (kushoto) na Meneja miradi mipya Neil Taylor wakati wa tafrija mchapalo (cocktail).

C

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani