BENKI YA NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MWANZA NA MUSOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-HdnHP8lcGkc/VbEkd0-a6KI/AAAAAAAHrUI/TTzkE9s252Y/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiseke Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, wakiwa wameketi kwenye madawati 64 yenye thamani ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Benki ya NMB kama sehemu ya msaada kwa shule hiyo.
Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9mxzB7OsylY/VakDz26LLrI/AAAAAAAHqQs/zlsmw_7oQCA/s72-c/unnamed%2B%252887%2529.jpg)
NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI KISEKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-9mxzB7OsylY/VakDz26LLrI/AAAAAAAHqQs/zlsmw_7oQCA/s640/unnamed%2B%252887%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vmg5UXSut6U/VakD0GbZZoI/AAAAAAAHqQw/jUb6RDi-Xrk/s640/unnamed%2B%252888%2529.jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eDYrPX9u4Tc/VMDKFfw6pYI/AAAAAAAACJI/epOhsY4Mxr4/s72-c/TUMAINI%2BSEMA.jpg)
MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA KWA KUSHILIKIANA NA BENKI YA NMB YAMWAGA MADAWATI 84 SHULE ZA MSINGI ITIJI NA IVUMWE JINI MBEYA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-eDYrPX9u4Tc/VMDKFfw6pYI/AAAAAAAACJI/epOhsY4Mxr4/s1600/TUMAINI%2BSEMA.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ndeL_cgZELs/VMDJ0Y5wfnI/AAAAAAAACIw/kmARkGFEgXw/s1600/NMB%2Bna%2BMwanjelwa.jpg)
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
![](https://3.bp.blogspot.com/-8ODlrrxpUIo/VDRJ42tYilI/AAAAAAAAOt4/NIP3B_E-UbQ/s1600/IMG_8488fnb.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ScVFR97yrXU/VDRKJLbdYFI/AAAAAAAAOuA/s9-IdQPPTQU/s1600/IMG_8950fnb.jpg)
9 years ago
VijimamboBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA, DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziBENKI YA NIC YATOA MADAWATI 25 SHULE YA MSINGI CHAMANZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii BENKI ya NIC imetoa msaada wa madawati 25 katika shule ya msingi Chamanzi yenye thamani ya Sh.Milioni tatu kutokana na shule hiyo kukabiliwa na changamoto ya madawati.
Akizungumza baada ya kukabidhi madawati hayo, Mkuu wa Biashara za Kibenki,Rahim Kanjii amesema kuwa shule hiyo waliona ina...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DG05ADX8PVw/VbePoJ3zC9I/AAAAAAAHsRU/0znpAyOSa9s/s72-c/01tabata.jpg)
TABATA SHULE YA MSINGI YANUFAIKA NA MSAADA WA MADAWATI 100 TOKA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DG05ADX8PVw/VbePoJ3zC9I/AAAAAAAHsRU/0znpAyOSa9s/s640/01tabata.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-M3vrd9c-rNI/VbePovO2UfI/AAAAAAAHsRY/vMlLKRJPNOw/s640/02.jpg)