TABATA SHULE YA MSINGI YANUFAIKA NA MSAADA WA MADAWATI 100 TOKA BENKI YA KCB TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DG05ADX8PVw/VbePoJ3zC9I/AAAAAAAHsRU/0znpAyOSa9s/s72-c/01tabata.jpg)
.Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Tabata ya jijini Dar es Salaam,Tumaini Kabuta akikabidhiwa msaada wa madawati 100 na Meneja Biashara wa Benki ya KCB Tanzania, Tawi la Mlimani City, Benjamin Mgonja(kushoto) wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo.Benki hiyo imetoa msaada wa matawati 1000 kwa shule kumi za jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Tabata.Wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Shule ya msingi Kiimbwa Mkuranga yanufaika na msaada wa Madawati 100 toka KCB Benki
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiimbwa iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Eugema Njau(kushoto) akipokea moja ya msaada wa madawati kati ya 100 toka kwa Ofisa Masoko wa Benki ya KCB Tanzania, Margaret Mhina (kulia) Msaada huo ni mwendelezo wa mradi wao wa kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi. Wanaoshuhudia wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa kijiji Ramadhani Bakari na Meneja wa benki hiyo tawi la Buguruni Luck Mwakitalu.
Ofisa wa Benki ya KCB Tanzania,Magret...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_oG981esUIY/VGs-Xts7TeI/AAAAAAAGyCc/Dc8H48Q2EPw/s72-c/3.jpg)
TRA yaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi Tanzania,Yatoa Msaada Hospitali ya Temeke na Kukabidhi Madawati 100 Shule ya Msingi Misitu,Kivule
Mara baada ya kukamilisha shughuli zote za hospitalini hapo,Wafanyakazi hao walielekea...
9 years ago
VijimamboBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar
9 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA, DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9cShK2foXnM/Va-hWz-isdI/AAAAAAAHrD0/YndRxZCO_NQ/s72-c/unnamed%2B%252846%2529.jpg)
BENKI YA KCB TANZANIA YATOA MSAADA WA MADWATI 1000 KWA SHULE KUMI ZA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-9cShK2foXnM/Va-hWz-isdI/AAAAAAAHrD0/YndRxZCO_NQ/s640/unnamed%2B%252846%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-b5ENpZYD5Rw/Va-hWx0KYVI/AAAAAAAHrDw/GAGmLD_sxNU/s640/unnamed%2B%252847%2529.jpg)
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YATOA MSAADA WA MADAWATI YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 10 KWA SHULE YA MSINGI YOMBO
10 years ago
MichuziBENKI YA NIC YATOA MADAWATI 25 SHULE YA MSINGI CHAMANZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii BENKI ya NIC imetoa msaada wa madawati 25 katika shule ya msingi Chamanzi yenye thamani ya Sh.Milioni tatu kutokana na shule hiyo kukabiliwa na changamoto ya madawati.
Akizungumza baada ya kukabidhi madawati hayo, Mkuu wa Biashara za Kibenki,Rahim Kanjii amesema kuwa shule hiyo waliona ina...