BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA ISHIRINI WA WANAHISA JIJINI ARUSHA
Kufuatia anguko la shilingi ya Tanzania dhidi ya dola wafanyabiashara nchini wametakiwa kuona kuwa ni fursa ya wao kijiinua kiuchumi katika biashara zao ndani na nje ya nchi na kuachana na propaganda za wanasiasa ambapo wanalalamikia anguko hilo.
Ambapo hali hiyo imesababisha kupanda kwa bidhaa mbalimbali nchini hali inayotajwa kuongeza ugumu wa maisha ya wananchi sambamba na wafanyabiashara nchini ambao wananunua na kuagiza bizaa kutika nje ya nchi. Hayo yameelezwa...
10 years ago
Dewji Blog07 May
Benki ya CRDB kufanya mkutano wa ishirini wa wanahisa Jijini Arusha kesho
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB Dr,Charles Kimei akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha akitoa taarifa ya mkutano mkuu wa ishirini wa wanahisa wa Benki ya Crdb unatarajia kufanyika kesho jijini Arusha. (Habari Picha na Pamela Mollel wa Jamiiblog).
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi mtendaji huduma mtambuka benki ya CRDB Bi.Esther...
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA MEI 10 JIJINI ARUSHA
5 years ago
MichuziBenki ya CRDB yawaalika wanahisa katika Mkutano Mkuu wa kihistoria wa Mwaka 2020
5 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziSEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB YAFANYIKA ARUSHA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziBENKI YA NMB YAFANYA MKUTANO ELEKEZI KWA WADAU WAKE JIJINI MWANZA
10 years ago
GPLMKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TPCC WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO