EDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI
Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario. Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Edgar Mutta na wazazi wake wafanya misa ya shukurani
![IMG_6944](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_6944.jpg)
10 years ago
MichuziEDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI,Maryland nchini Marekani
10 years ago
VijimamboMISA YA SHUKURANI YA EDGAR MUTTA SILVER SPRING, MARYLAND
10 years ago
Vijimambo16 Apr
MISA YA SHUKURANI JUMAPILI DMV
Tunakukaribisha ushiriki nasi kwenye Misa ya shukrani ya kumuombea baba wa Michael itakayofanyika tarehe 19th April katika kanisa la The way of cross gospel ministry from 2 pm to4pm. address 405 Riggs rd NE Washington DC.
for more information call me at 443-636-1782Thanks.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TzkpVeaVDlk/Vbu7Qqx7mcI/AAAAAAAHs9s/lnEk7ko6stI/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
SHUKURANI NA MISA YA KUMALIZA MSIBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TzkpVeaVDlk/Vbu7Qqx7mcI/AAAAAAAHs9s/lnEk7ko6stI/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Familia ya Marehemu Mzee Richard Azza Mgaya inawaarifu ndugu, jamaa, marafiki na jirani kwamba shughuli ya kumaliza msiba itafanyika Jumapili hii ya tarehe 02 agosti, 2015 nyumbani kwa marehemu Njiro, Arusha.Misa ya shukurani na sadaka itaanza saa tatu za asubuhi na baadaye chakula cha mchana.Familia inatoa shukurani kwa wote walioshiriki kikamilifu katika shughuli za mazishi toka mwanzo hadi mwisho wa kumuweka kwenye nyumba yake ya...
9 years ago
Vijimambo11 Oct
MISA YA SHUKURANI LEO JUMAPILI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Grace Meela 301-520-6303Jacque Korassa - 240-706-6831Aunty Lilly-301- 879-8104Kija Lupemba 240-353-1148
“I shall go to him, but he shall not return to me.”2 Samwel...
10 years ago
VijimamboMisa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa
Saturday August 8, 2015.
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya Shukurani au Arubaini ya Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83),
Siku: Saturday August 8th, 2015
Saa: 4pm
Address: Luangisa Residence: 374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Misa itaongozwa na Mchungaji Mama Butiku
Mpe taarifa mwenzako...
10 years ago
Vijimambo10 Nov
Tangazo la Misa - Shukurani (Thanksgiving), Marehamu Wote na Uhuru wa Tanzania, Novemba 30 2014, 2:00 PM
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikwa nia ya Kutoa Shukurani (Thanksgiving), Kuwaombea Marehemu Wote na Kusheherekea Uhuru wa Tanzania na Kenya
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 30 Novemba 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...