kumbukumbu na tangazo la misa
.jpg)
Mzee Alfredy Raphael Kiswaga Baba leo unatimiza miaka kumi na tano toka ulipotutoka. Mtoto wak Fredy Kiswaga, Kaka na dada pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na majirani wanakukumbuka siku ya leo, huku wakiwa na imani kuwa japo kimwili haupo nao, lakini kimawazo na upendo viko pale pale.Siku ya Jumapili Oktoba 12, 2014 kutakuwa na misa ya kumbukumbukatika Kanisa Katoliki la Mwenge la Mt. Maximilian saa mbili asubuhi. Nyote mnakaribishwa kumkumbuka na kumuombea Mzee Alfredy Raphael...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
KUMBUKUMBU NA MISA
.jpg)
Tunakuombea upunguziwe adhabu za kaburi na upatiwe mwanga wa milele.
Misa itafanyika leo tarehe 4 Machi, 2015 katika kanisa Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam, Saa 11.00 jioni
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Misa kumbukumbu ya Regia kesho
FAMILIA ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Regia Mtema (CHADEMA), imeandaa misa takatifu ya kumbukumbu ya miaka miwili tangu afariki dunia Januari 14 mwaka 2011. Akizungumza na Tanzania Daima jana,...
10 years ago
Vijimambo17 May
Tangazo la Misa -Siku Wakina Mama May 31, 2015
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikuadhimisha sikukuu ya wakina mama
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki laMtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 31 Mei 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na anwani....
10 years ago
Vijimambo
Tangazo la Misa ya Mrs Theonestina Rweyemamu - New York

Shughuli itafanyika tarehe 1 Februari, 2015 siku ya jumapili, kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni.
Anuani : 40 East Sidney Avenue, Mount Vernon NY 10550 (COMMUNITY ROOM).
Wote mnakaribishwa.
Asante
Mungu wetu azidi kukubariki na wewe.Doris Rweyemamu
11 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
Vijimambo
Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Michael Ndaskoi Mlingi .





10 years ago
Vijimambo
Misa ya Kumbukumbu ya Col. Clement Xavier Mwihava.

Familia ya Mwihava inapenda kuwakaribisha nyote, kwenye misa ya kumbukumbu ya baba yao mpendwa. Col. Clement Xavier Mwihava (baba yao mzazi Cane Mwihava na Derick Mwihava) Aliye fariki Tanzania December 26, 2014Misa itafanyika Jumapili January 4, 2015.Kuanzia saa nane mchana (2pm) katika kanisa la St. Edwards Roman Catholic Church Anuani ni 901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, USA
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana naCane Mwihava 301 806...
10 years ago
Vijimambo04 Apr
MISA YA KUMBUKUMBU DMV JUMAMOSI APRIL 11, 2015
