Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


tangazo la misa ya mwl Constancia Joachim Msaky


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

kumbukumbu na tangazo la misa

Mzee Alfredy Raphael Kiswaga Baba leo unatimiza miaka kumi na tano toka ulipotutoka. Mtoto wak Fredy Kiswaga, Kaka na dada pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na majirani wanakukumbuka siku ya leo, huku wakiwa na imani kuwa japo kimwili haupo nao, lakini kimawazo na upendo viko pale pale.Siku ya Jumapili Oktoba 12, 2014  kutakuwa na misa ya kumbukumbukatika Kanisa Katoliki la Mwenge la Mt. Maximilian saa mbili asubuhi. Nyote mnakaribishwa kumkumbuka na kumuombea Mzee Alfredy Raphael...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa ya Mrs Theonestina Rweyemamu - New York

Familia ya Nestory Mwombeki Rweyemamu inapenda kuwaalika wote kwenye misa ya kutimiza mwaka mmoja tangu kifo cha mama yao Theonestina Rweyemamu.

Shughuli itafanyika tarehe 1 Februari, 2015 siku ya jumapili, kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni.

Anuani : 40 East Sidney Avenue, Mount Vernon NY 10550 (COMMUNITY ROOM).

Wote mnakaribishwa.

Asante
Mungu wetu azidi kukubariki na wewe.Doris Rweyemamu

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa -Siku Wakina Mama May 31, 2015

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikuadhimisha sikukuu ya wakina mama
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki laMtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 31 Mei 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na anwani....

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Kuadhimisha Muungano, Capuchin College, April 19, 2015, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahiliKusheerekea Sikukuu ya Muungano 2015
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 19 Aprili 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Kumsimika Fr. Honest Munishi, February 8, 2015, 10:00AM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu itakaoongozwa na Baba Askofu kwa nia kumsimika Fr. Honest Munishi kama Paroko mpya wa kanisa Takaifu Katoliki la Mtakatifu Edward.
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 8 Februari 2015. Saa nne kamili asubuhi (10:00 AM).Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Shukurani (Thanksgiving), Marehamu Wote na Uhuru wa Tanzania, Novemba 30 2014, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa WoteImg3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikwa nia ya Kutoa Shukurani (Thanksgiving), Kuwaombea Marehemu Wote na Kusheherekea Uhuru wa Tanzania na Kenya
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 30 Novemba 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani