Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tangazo la Misa - Kuadhimisha Muungano, Capuchin College, April 19, 2015, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahiliKusheerekea Sikukuu ya Muungano 2015
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 19 Aprili 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KUMBUKUMBU DMV JUMAMOSI APRIL 11, 2015

Familia ya Stephen na Esther Msungu wanapenda kuwakaribisha kwenye misa ya kumbukumbu ya wapendwa wao baba yake Stephen Mzee Peter Dremus Msungu aliyefariki Tanzania February 20,2015, na kaka yake Esther, Gerald Arthur Natumwa aliyefariki Tanzania March 15,2015.Misa itafanyika April 11,2015 kuanzia saa 10 jioni (4) katika kanisa la St. Edward Roman Catholic Church.Anuani ya kanisa ni901 Poplar Grove StBaltimore Md 21216Kwa maelezo zaidi, unaweza wasiliana naStephen Msungu 240 476 9056.Esther...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa -Siku Wakina Mama May 31, 2015

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahilikuadhimisha sikukuu ya wakina mama
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki laMtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Jumapili Tarehe 31 Mei 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na anwani....

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KUMBUKUMBU DMV LEO JUMAMOSI APRIL 11, 2015

Familia ya Stephen na Esther Msungu wanapenda kuwakaribisha kwenye misa ya kumbukumbu ya wapendwa wao baba yake Stephen Mzee Peter Dremus Msungu aliyefariki Tanzania February 20,2015, na kaka yake Esther, Gerald Arthur Natumwa aliyefariki Tanzania March 15,2015.Misa itafanyika April 11,2015 kuanzia saa 10 jioni (4) katika kanisa la St. Edward Roman Catholic Church.Anuani ya kanisa ni901 Poplar Grove StBaltimore Md 21216Kwa maelezo zaidi, unaweza wasiliana naStephen Msungu 240 476 9056.Esther...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Kumsimika Fr. Honest Munishi, February 8, 2015, 10:00AM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu itakaoongozwa na Baba Askofu kwa nia kumsimika Fr. Honest Munishi kama Paroko mpya wa kanisa Takaifu Katoliki la Mtakatifu Edward.
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 8 Februari 2015. Saa nne kamili asubuhi (10:00 AM).Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

MUUNGANO DAY DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015



SIGNATURE BLUE EVENTS CENTER6500 VIRGINIA MANORBELTSVILLE, MD 20705
9;00 PM-4;00 AM
$10 COVER CHARGE


 

10 years ago

Vijimambo

PBZ KUDHAMINI MECHI YA MUUNGANO KATI YA KILIMANJARO NA ZANZIBAR HEROES UGHAIBUNI MTANANGE KUPIGWA APRIL 26, 2015

Viongozi: Wageni rasmi wa sherehe za Muungano Mhe: Mwigulu Nchemba (wapili kulia) akifuatiwa na Balozi Mulamula, pamoja na Balozi wa Waziri wa Nchi Zanzibar, Ofisi ya Rais na MBM Dr. Mwinyihaji Makame, (wakwanza kulia) Balozi Mwinyi (kulia)Viwe Juma,wapili kulia ambae ni Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Abuu Qullatein katika Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani