Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PBZ KUDHAMINI MECHI YA MUUNGANO KATI YA KILIMANJARO NA ZANZIBAR HEROES UGHAIBUNI MTANANGE KUPIGWA APRIL 26, 2015

Viongozi: Wageni rasmi wa sherehe za Muungano Mhe: Mwigulu Nchemba (wapili kulia) akifuatiwa na Balozi Mulamula, pamoja na Balozi wa Waziri wa Nchi Zanzibar, Ofisi ya Rais na MBM Dr. Mwinyihaji Makame, (wakwanza kulia) Balozi Mwinyi (kulia)Viwe Juma,wapili kulia ambae ni Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Abuu Qullatein katika Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MECHI YA ZANZIBAR HEROES NA KILIMANJARO DMV PATAKUA HAPATOSHI

 Timu ya Zanzibar HeroesTimu ya Kilimanjaro
Mechi ya Muungano itakayochezwa siku ya Jumapili April 26, 2015 katika viwanja vya kisasa tofauti na ile ilipochezewa mwaka jana inasubiliwa kwa hamu hasa na wachezaji wa Zanzibar Heroes ambao wamesema mechi yao ya mwaka jana ushindi ulikuwa wa kwao lakini hujuma zilifanyika katika kupigiana penati ili mpira umalizike kwa ngoma droo.

Katima mechi hiyo iliyokua na upinzani wa hali juu kutoka timu zote mbili iliyoanza kwa timu ya Kilimanjaro kuanza...

 

10 years ago

Vijimambo

BBQ NA MTANANGE WA MUUNGANO KUFANYIKA. WALKER MILLS SIKU YA JUMAMOSI PBZ KUKABIDHI JEZI KESHO

Kiwanja kitakachopigiwa mtanange
Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani  chini ya udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wa dhamini mechi hii tangia mwaka jana.

Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills

Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.

Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747,
Jezi Jezi
 Jezi

 

11 years ago

Dewji Blog

Timu ya Zanzibar Heroes ya Marekani yapokea jezi kutoka kwa wahisani wa PBZ

Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya  Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi walihudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba  ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA ZANZIBAR HEROES NA TANZANIA BARA KATIKA PICHA

Moja ya magoli ya Zanzibar Heroes yakimuacha kipa Mussa Linga wa Tanzania Bara asijue la kufanyaWachezaji wa pande zote mbili wakichuana vikaliMpambano ukiendeleaMechi ni kali

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

MUUNGANO DAY DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015



SIGNATURE BLUE EVENTS CENTER6500 VIRGINIA MANORBELTSVILLE, MD 20705
9;00 PM-4;00 AM
$10 COVER CHARGE


 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO

Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes walipoiadhibu timu ya Bara kwa bao 7-1 mechi iliyochezewa Capitol Heights, Maryland siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika kuadhimisha miaka 51 ya sherehe ya Muungano zilizodhaminiwa na PBZRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu ya Zanzibar Heroes Dedi Luba.Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na nahodha wa timu...

 

10 years ago

Vijimambo

Tangazo la Misa - Kuadhimisha Muungano, Capuchin College, April 19, 2015, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg

Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahiliKusheerekea Sikukuu ya Muungano 2015
Ibada itafanyika katika kigango cha
Capuchin College4121 Harewood Road, NE, Washington, DC, 20017
Jumapili Tarehe 19 Aprili 2015. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya barua pepe na Wakatoliki DMV anwani. Tupatie mawasiliano yako kwenda...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani