BBQ NA MTANANGE WA MUUNGANO KUFANYIKA. WALKER MILLS SIKU YA JUMAMOSI PBZ KUKABIDHI JEZI KESHO
Kiwanja kitakachopigiwa mtanange
Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani chini ya udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wa dhamini mechi hii tangia mwaka jana.
Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills
Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.
Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747,
Jezi Jezi
Jezi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPBZ KUDHAMINI MECHI YA MUUNGANO KATI YA KILIMANJARO NA ZANZIBAR HEROES UGHAIBUNI MTANANGE KUPIGWA APRIL 26, 2015
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Timu ya Zanzibar Heroes ya Marekani yapokea jezi kutoka kwa wahisani wa PBZ
Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi walihudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...
10 years ago
GPLSEMINA SIKU YA MSANII KUFANYIKA KESHO
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Siku ya msanii kufanyika Jumamosi ijayo Mlimani City Jijini Dar
Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii Tanzania (SYM), Bw. Peter Mwendapole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Siku ya Msanii Tanzania itakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City siku ya tarehe 25 Oktoba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
KAMATI ya Siku ya Msanii Tanzania (SYM) imetangaza rasmi majina ya wasanii watakaotumbuiza katika maadhimisho ya siku hiyo itakayofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar Es Salaam.
Akizingumza na...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboTANZANIA DAY/MUUNGANO BBQ IN NEW YORK CITY SATURDAY MAY 2, 2015 KARIBU WOTE
Jumuiya ya Watanzania wa New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania ikishirikiana na Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa kwa pamoja na udhamini wa Miss Tanzania USA. Tunapenda kuwataarifu wanajumuiya wote kuwa kutakuwa na BBQ maalum kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Muungano wetu/Tanzania Day ambayo ilikuwa April 26,1964. Shime tujitokeze kwa wingi kusherehekea siku yetu hii adhimu itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 2 Mei 2015 kuanzia saa Saba mchana Roosevelt Island. Kama...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboNGUMI KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MANYARA PARCK CCM TANDALE JUMAMOSI MARCH 28
Na Mwandishi Wetu
Mabondia Julius Kisalawe kutoka Ndame Clab...