Timu ya Zanzibar Heroes ya Marekani yapokea jezi kutoka kwa wahisani wa PBZ
Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi walihudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPBZ KUDHAMINI MECHI YA MUUNGANO KATI YA KILIMANJARO NA ZANZIBAR HEROES UGHAIBUNI MTANANGE KUPIGWA APRIL 26, 2015
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled58.jpg)
10 years ago
VijimamboHASHEEM THABEET ASHUHUDIA KIPIGO TANZANIA BARA CHA GOLI 7-1 KUTOKA KWA ZANZIBAR HEROES
11 years ago
Michuzibenki ya watu wa zanzibar yadhamini Zanzibar heroes marekani
Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi waliohudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7taUsr6BzsA/U_TPUHqobFI/AAAAAAAGA-A/zUcptyRkvZE/s72-c/unnamed%2B(51).jpg)
TanTrade yapokea vifaa kutoka Taasisi ya Marekani ya USAID
![](http://3.bp.blogspot.com/-7taUsr6BzsA/U_TPUHqobFI/AAAAAAAGA-A/zUcptyRkvZE/s1600/unnamed%2B(51).jpg)
5 years ago
CCM BlogZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi...
10 years ago
VijimamboBBQ NA MTANANGE WA MUUNGANO KUFANYIKA. WALKER MILLS SIKU YA JUMAMOSI PBZ KUKABIDHI JEZI KESHO
Mechi ya Muungano itakayochezwa Jumamosi April 25, 2015 kati ya timu ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani chini ya udhamini wake People's Bank of Zanzibar(PBZ) ambao ndio wa dhamini mechi hii tangia mwaka jana.
Mechi inatarajiwa kuanza saa 12 jioni na kutakua na BBQ kuanzia saa nane mchana hapo hapo Walker Mills
Timu zote zipo kwenye mazoezi makali zikijiwinda na mpambano huo.
Anuani ya uwanja ni 8001 Walker Mill Road, District Heights, MD, 20747,
![](http://1.bp.blogspot.com/-FqR6ww4NRyg/VTYLjQg3XFI/AAAAAAADjYo/olF7pLvEBtE/s1600/3b88de8b1257ae64543da61b0a8241ec.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HMXt3ZoJU7A/VTYLj63wziI/AAAAAAADjY0/QiEgYvyJPL0/s1600/e30e7d9565dd2c6019aa192cd7cf57a8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vSTTR-M83ys/VTYLjSaehUI/AAAAAAADjYs/6zl8pMAlKgM/s1600/8146a17e8af474bac658527fd5407f7a.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-h9WIPQD4z4s/VTYLjwqCRZI/AAAAAAADjYw/EYTh1A2f8Fk/s1600/8374816265f8b03c567b70eba4f81e4b.jpg)
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA KUTOKA TAASISI YA MILELE ZANZIBAR FOUNDATION
Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 13/04/2020.
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...
10 years ago
VijimamboTANZANIA BARA YAKUBALI KIPIGO CHA GOLI 7-1 KUTOKA ZANZIBAR HEROES WADAI WAMEFUNGWA KUIMARISHA MUUNGANO
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6szd10Sw8T8/Vk2mvIGuAuI/AAAAAAABpUg/lga7ZXRgW00/s72-c/SFDL%2BPIX%2B2.jpg)
STARTIMES YAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA SFDL
![](http://3.bp.blogspot.com/-6szd10Sw8T8/Vk2mvIGuAuI/AAAAAAABpUg/lga7ZXRgW00/s640/SFDL%2BPIX%2B2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Rs7824QSYGc/Vk2mvNiiqOI/AAAAAAABpUk/xdZddAtcNOM/s640/SFDL%2BPIX%2B3.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10