Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


benki ya watu wa zanzibar yadhamini Zanzibar heroes marekani

Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya  Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi waliohudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba  ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Timu ya Zanzibar Heroes ya Marekani yapokea jezi kutoka kwa wahisani wa PBZ

Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya  Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi walihudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba  ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ) YAFUTARISHA WANA FAMILIA WA BENKI HIYO NA WATEJA WAKE

 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya (PBZ) na wageni walikwa wakiingia kwenye ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort kwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wana Famili wa Benki hiyo na wateja wao.

 Mkurugenzi Masoko PBZ Seif Suleiman akiwaongoza wageni walikwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

 Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari.

 Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari. Mkurugenzi Huduma za Kibenki Said M....

 

9 years ago

Dewji Blog

Zantel yaingia ubia na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kutoa huduma za kibenki kupitia simu za mkononi

1

Waziri wa Fedha wa Zanzibar, Mheshimiwa Omari Yusuf Mzee, akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa huduma ya Benki yako Kiganjani ya Zantel pamoja na benki ya PBZ. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Zantel, Pratap Ghose, akifuatiwa na Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Salmin Senga, na mwisho kulia ni Mkurugenzi wa benki ya PBZ, Juma Mohammed.

3

Mkurugenzi wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya kati ya kampuni yake na benki ya PBZ, Benki Yako...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar awasilisha agizo la Serikali yake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yunliang akiwasilisha agizo la Serikali yake kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi la kuridhia na kukubali kusaidia Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Mau Tse Tung uliopo Mtaa wa Mperani - Kikwajuni Mjini Zanzibar. Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Xie Yunliang akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake ndani ya Jewngo la Pius Msekwa Bungeni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Djibout na Zanzibar Heroes hali tete

Michuano ya CECAFA CHALENJI CUP 2015 imeendelea jana jumatano kwa michezo minne ya hatua ya makundi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar Heroes waendelea kusota hotelini

WACHEZAJI wa timu ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wamepanga kujigharamia nauli zao wenyewe ili waweze kupanda mabasi kurejea nchini Tanzania. Heroes toka Jumanne iliyopita waliondolewa katika michuano ya Chalenji na kujikuta...

 

9 years ago

Mtanzania

Zanzibar Heroes, Kili Stars kazini Chalenji

2-5NA ZAINAB IDDY

MICHUANO ya Chalenji inayoshirikisha nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), inatarajia kuanza leo nchini Ethiopia huku timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ ikianza kibarua kwa kuvaana na Burundi huku wenzao wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ wakicheza kesho kwa kucheza na Somalia.

Michuano hiyo inayoanza leo itamalizika Desemba 6 mwaka huu ambapo Zanzibar Heroes inayonolewa na Kocha mkuu, Hemed Morocco, akisaidiana na Malale Hamsini, ipo kundi B pamoja...

 

9 years ago

TheCitizen

Zanzibar assistant coach fires warning to Heroes aces

Zanzibar Heroes assistant coach Malale Hamsin Keya yesterday issued an ultimatum to four players who have yet to report at camp.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani