Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar Heroes waendelea kusota hotelini

WACHEZAJI wa timu ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wamepanga kujigharamia nauli zao wenyewe ili waweze kupanda mabasi kurejea nchini Tanzania. Heroes toka Jumanne iliyopita waliondolewa katika michuano ya Chalenji na kujikuta...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waliomuua Dk Mvungi waendelea kusota rumande

Jalada la kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi bado lipo kwa Mkuu wa Upelelezi wa kesi hiyo (RCO).

 

10 years ago

GPL

PAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu. (Picha na maktaba yetu) Na Haruni Sanchawa / GPL MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike.  Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Hellen Moshi katika...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo Manispaa Kinondoni waendelea kusota rumande


NA MWANDISHI WETU
VIGOGO watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, waliokamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa, wanaendelea kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Vigogo wanaoshikiliwa ni Mhandisi wa manispaa hiyo, Baraka Mkuya, Mkaguzi Mkuu wa Majengo aliyetajwa kwa jina moja la Christopher na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Msasani aliyefahamika kwa jina la Mushi.
Ofisa Uhusiano wa TAKUKURU, Doreen Kapwani, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa vigogo...

 

10 years ago

Vijimambo

PAPAA MSOFE NA MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Papaa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu. (Picha na maktaba yetu).

MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Bi Hellen Moshi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa.
Msofe...

 

10 years ago

GPL

HALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mdee (wa nne kulia) na watuhumiwa wenzake wakielekea mahakamani. Watuhumiwa wakishuka chumba cha mahakama.…

 

11 years ago

Michuzi

benki ya watu wa zanzibar yadhamini Zanzibar heroes marekani

Katika kilele cha kusherehekea Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Timu ya  Zanzibar Heroes kupokea Jezi kutoa kwa wadhaminini wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) ambazo jezi hizo zilitolewa na wageni rasmi waliohudhuria katika sherehe hizo akiwemo Mh. Mwigulu Nchemba  ambae ni Mbunge na naibu waziri wa fedha na Uchumi Tanzania bara na upande wa Zanzibar pamoja na Mhe. Dr. Mwinyihaji Makame mwakilishi na waziri wa nchi ofisi ya rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar wazuiliwa hotelini Nairobi

p>KIKOSI cha timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, kimeshindwa kuondoka jijini Nairobi juzi kama ilivyopangwa baada ya kuzuiliwa hotelini walipofikia kwa madai ya kudaiwa fedha kutokana na waandaaji wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Djibout na Zanzibar Heroes hali tete

Michuano ya CECAFA CHALENJI CUP 2015 imeendelea jana jumatano kwa michezo minne ya hatua ya makundi.

 

9 years ago

Mtanzania

Zanzibar Heroes, Kili Stars kazini Chalenji

2-5NA ZAINAB IDDY

MICHUANO ya Chalenji inayoshirikisha nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), inatarajia kuanza leo nchini Ethiopia huku timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ ikianza kibarua kwa kuvaana na Burundi huku wenzao wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ wakicheza kesho kwa kucheza na Somalia.

Michuano hiyo inayoanza leo itamalizika Desemba 6 mwaka huu ambapo Zanzibar Heroes inayonolewa na Kocha mkuu, Hemed Morocco, akisaidiana na Malale Hamsini, ipo kundi B pamoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani