PAPAA MSOFE NA MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
Papaa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu. (Picha na maktaba yetu).
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Bi Hellen Moshi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa.
Msofe...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Papa Msofe aendelea kusota rumande
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Waliomuua Dk Mvungi waendelea kusota rumande
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Vigogo Manispaa Kinondoni waendelea kusota rumande
NA MWANDISHI WETU
VIGOGO watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, waliokamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa, wanaendelea kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Vigogo wanaoshikiliwa ni Mhandisi wa manispaa hiyo, Baraka Mkuya, Mkaguzi Mkuu wa Majengo aliyetajwa kwa jina moja la Christopher na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Msasani aliyefahamika kwa jina la Mushi.
Ofisa Uhusiano wa TAKUKURU, Doreen Kapwani, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa vigogo...
10 years ago
GPLHALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Mahakama yamgomea papaa Msofe
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeacha kwa muda kusikiliza kesi ya kughushi hati ya umiliki wa nyumba inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa Msofe (50).
Mahakama hiyo iligoma kuifuta kesi hiyo jana katika uamuzi wake uliotolewa na Hakimu Mkazi, Renatus Rutta baada ya kupitia hoja zilizowasilishwa na pande mbili zinazopingana.
Wakili wa utetezi, Majura Magafu aliwasilisha hoja katika mahakama hiyo akidai kwamba mteja wake anakabiliwa na...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa
Papaa Msofe akiwa chini ya ulinzi wa polisi.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah, Uwazi
DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, imetoa hukumu kwa mfanyabiashara Marijani Abubakar, almaarufu Papaa Msofe, Alex Massawe na Makongoro Nyerere kwa kosa la kughushi hati ya umiliki wa nyumba iliyopo Mikocheni jijini Dar, mali ya marehemu Onesphory Kituly aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi mwaka 2011.
Kesi hiyo iliyonguruma kwa takribani miaka saba tangu 2007, ilifikia tamati Desemba...
11 years ago
Habarileo18 Feb
Mshitakiwa kesi ya Papaa Msofe alalamika
MSHITAKIWA wa kesi ya mauaji, Makongoro Nyerere anayeshitakiwa pamoja na mfanyabiashara maarufu Marijan Abubakar ‘Papaa Msofe’, amedai kuwa upande wa Jamhuri unawakomesha kwa kuwa kesi ni ya muda mrefu.
10 years ago
Daily News02 Jan
State seeks more time in Papaa Msofe murder case
Daily News
THE prosecution has requested the Kutu Resident Magtrate's Court in Dar es Salaam to grant it more time to complete investigation into the murder trial of two prominent businessmen, Makongoro Joseph Nyerere and Marijani Abubakar, alias Papaa Msofe.