Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar wazuiliwa hotelini Nairobi

p>KIKOSI cha timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, kimeshindwa kuondoka jijini Nairobi juzi kama ilivyopangwa baada ya kuzuiliwa hotelini walipofikia kwa madai ya kudaiwa fedha kutokana na waandaaji wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar Heroes waendelea kusota hotelini

WACHEZAJI wa timu ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wamepanga kujigharamia nauli zao wenyewe ili waweze kupanda mabasi kurejea nchini Tanzania. Heroes toka Jumanne iliyopita waliondolewa katika michuano ya Chalenji na kujikuta...

 

11 years ago

TheCitizen

Nairobi attacks ‘a blessing’ to Zanzibar

>Zanzibar has been experiencing an increase of tourist arrivals since terrorism attacks engulfed neighbouring Kenya, according to the industry’s stakeholders there.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maafisa tisini wazuiliwa Cuba

Serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusiana na kuzuiwa kwa wapinzani tisini katika mji mkuu wa Cuba, Havana mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waangalizi wa Ulaya wazuiliwa Ukraine

Waangalizi wa Ulaya waliotumwa katika eneo la ndege ya Malaysia Airline iliangushwa wamezuiliwa kuona mabaki ya ndege hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya wengi wazuiliwa magereza Ngambo

Wanaharakati wa kijamii nchini Kenya watoa wito kwa serikali kuhakikishia haki za washukiwa wanaozuiliwa katika mataifa ya kigeni

 

5 years ago

BBCSwahili

China Uighur: Wazuiliwa kwa kuwa na ndevu, kufunika uso na kutumia mtandao wa intaneti

Stakabadhi mpya zinaonesha "tena ushahidi mkubwa" kuhusu jinsi China inavyowakamata watu kwa misingi ya kidini katika eneo la Xinjiang.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watalii 17 wavamiwa hotelini

KUNDI la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto na mapanga, wamevamia watalii 17 kutoka mataifa mbalimbali na kuwapora kiasi kikubwa cha fedha, kamera na kompyuta mpakato...

 

11 years ago

GPL

RIYAMA AZUA UTATA HOTELINI

Stori: Emelder Tarimo WHY? Mwigizaji mwenye sura ya upole, Riyama Ally amezua utata akidaiwa kumshushia varangati rafiki yake kipenzi, Prodyuza Emmanuel Sewando ‘Manecky’ baada ya kumkuta akiponda raha na mwanamke hotelini. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Riyama Ally. Ilielezwa kuwa tukio hilo lilitokea juzikati kwenye hoteli moja iliyopo Kijitonyama, Dar ambapo mastaa wengi huenda kuogelea lakini Riyama hakufurahishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

TUNISIA: WATU 37 WAMEUAWA HOTELINI

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli moja ya kitalii iliyoko kwenye pwani ya Tunisia na kuwauwa watu 37. Maafisa wa serikali ya Tunisia wamesema kuwa mmoja wa washambuliaji hao aliuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa ulinzi na kuwa waliosalia bado wanasakwa na polisi. Shambulio hilo lilitokea katika mji wa Sousse, ambao huwavutia maelfu ya watalii kutoka bara Ulaya na Afrika ya Kaskazini. Hili lilikuwa shambulizi la pili dhidi ya hoteli ya watalii nchini Tunisia katika kipindi cha miezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani