TUNISIA: WATU 37 WAMEUAWA HOTELINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jeAlUDd9v48/VY5Pe2EUjRI/AAAAAAAHkas/FcqEkHdpLQQ/s72-c/150615072514_tunisia_2_640x360_afp_nocredit.jpg)
Watu wenye silaha wameshambulia hoteli moja ya kitalii iliyoko kwenye pwani ya Tunisia na kuwauwa watu 37. Maafisa wa serikali ya Tunisia wamesema kuwa mmoja wa washambuliaji hao aliuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa ulinzi na kuwa waliosalia bado wanasakwa na polisi. Shambulio hilo lilitokea katika mji wa Sousse, ambao huwavutia maelfu ya watalii kutoka bara Ulaya na Afrika ya Kaskazini. Hili lilikuwa shambulizi la pili dhidi ya hoteli ya watalii nchini Tunisia katika kipindi cha miezi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Watu 27 wameuawa hotelini Tunisia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y5Mcq6BCU*8hwfW7UXg1IUrelzbxWtNwoFkDa74srQYeiTlsG2eEB8T6g2sP6nr9dWAPpjVhZGZhTji5nnNzlwcqLVEC6VU1/TUNISIA2.jpg?width=650)
WALIOUAWA HOTELINI TUNISIA WAFIKIA 38
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Watu 30 wameuawa Baghdad
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
UN Watu 6000 wameuawa Ukraine
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Zaidi ya watu 20 wameuawa Thailand
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Watu 4 wameuawa usiku wa jana Bujumbura
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Alshabab yaua watu 10 hotelini Somalia
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Al shabaab 13 wameuawa Kenya
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wanajeshi 66 wameuawa Sudan Kusini