Alshabab yaua watu 10 hotelini Somalia
Wapiganaji wa kundi la wanamgambo wa Al Shabaab wameshambulia mkahawa mmoja mjini Mogadishu na kua watu 10
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
AlShabab yaua mama kutofunga niqabu
Taarifa kutoka Somalia zinasema mwanamke mmoja katika eneo la kusini mwa nchi hiyo ameuawa kwa kupigwa risasi.
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Je mapigano ya Jubaland na serikali ya Somalia yanaweza kuwaingiza zaidi Alshabab Kenya?
Hali ya utulivu imerejea katika eneo la Mandera kaskazini mwa Kenya baada ya mapigano makali yaliyotokea Jumatatu kati ya wanajeshi wa serikali ya Somalia na wale wa eneo la Jubaland.
11 years ago
Habarileo04 Mar
Majambazi yaua polisi hotelini
ASKARI Polisi, Mohamed Mjomba (44) amepoteza maisha baada ya kushambuliwa na majambazi, waliovamia Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Uroa Wilaya ya Kati Unguja.
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Makabiliano Hotelini Somalia yamalizika
Serikali ya Somalia imesema mapigano yaliokuwa kwenye hoteli moja mjini Mogadishu kufuatia uvamizi wa Al shabaab yamemalizika.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jeAlUDd9v48/VY5Pe2EUjRI/AAAAAAAHkas/FcqEkHdpLQQ/s72-c/150615072514_tunisia_2_640x360_afp_nocredit.jpg)
TUNISIA: WATU 37 WAMEUAWA HOTELINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jeAlUDd9v48/VY5Pe2EUjRI/AAAAAAAHkas/FcqEkHdpLQQ/s640/150615072514_tunisia_2_640x360_afp_nocredit.jpg)
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Watu 27 wameuawa hotelini Tunisia
Watu wenye silaha wameshambulia hoteli moja ya kitalii iliyoko kwenye pwani ya Tunisia na kuwauwa takriban watu 27
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 7 wauawa Somalia
Wavamizi walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo hilo kabla ya wavamizi kuingia wakiwa wamejihami kwa bunduki
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Ajali yaua watu 17 Tanzania
Watu 17 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea mkoa wa Dodoma katikati mwa Tanzania.
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mafuriko yaua watu 15 DRC
Watu kumi na tano wamekufa katika kijiji cha Kimino huko Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania