Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watalii 17 wavamiwa hotelini

KUNDI la watu wanaoaminika kuwa ni majambazi wakiwa na silaha za moto na mapanga, wamevamia watalii 17 kutoka mataifa mbalimbali na kuwapora kiasi kikubwa cha fedha, kamera na kompyuta mpakato...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Simba wavamiwa

Uwanja wa Simba uliopo Bunju B kitalu namba 226, umevamiwa na baadhi ya watu walioanza kugawana maeneo tayari kwa ujenzi wa makazi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtandao wa eBay wavamiwa

Majina, tarehe ya kuzaliwa na anwani za watu zimefichuliwa baada ya mtandao wa eBay kuvamiwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Apple wavamiwa kimitandao

Kampuni ya Apple ya Marekani imesema kuwa ipo katika hatua za kukabiliana na shambulio la kimitandao kwa bidhaa zake nchini China.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ukumbi wa Waislamu wavamiwa Corsica

Kundi la watu limevamia na kuharibu ukumbi wa maombi wa Waislamu katika kisiwa cha Ufaransa cha Corsica, shambulio linaoonekana kuwa la kulipiza kisasi.

 

10 years ago

Mwananchi

UBABE: Polisi wavamiwa Lindi, mtuhumiwa auawa

>Kundi la vijana wasiofahamika kutoka mjini Liwale, mkoani Lindi, wamevamia Kituo cha Polisi Lionja na kuwazidi nguvu askari, kabla ya kumtorosha mtuhumiwa wa mauaji na kisha kumuua na mwili wake kuuchoma moto.

 

10 years ago

GPL

Wezi wamliza Kopunovic hotelini

Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic. Daudi Julian, Morogoro na Hans Mloli, Dar
KOCHA Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic, ameingizwa mjini baada ya kuibiwa kiasi cha dola 300 (Sh 510,000) pamoja na fedha za Kitanzania ambazo hazikufahamika ni kiasi gani akiwa katika hoteli yenye hadhi kubwa mkoani Morogoro. Kocha huyo amekumbwa na tukio hilo alipokuwa mkoani humo wakati timu yake ilipokuwa mkoani humo maalum kwa ajili ya mechi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Makabiliano Hotelini Somalia yamalizika

Serikali ya Somalia imesema mapigano yaliokuwa kwenye hoteli moja mjini Mogadishu kufuatia uvamizi wa Al shabaab yamemalizika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zanzibar wazuiliwa hotelini Nairobi

p>KIKOSI cha timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, kimeshindwa kuondoka jijini Nairobi juzi kama ilivyopangwa baada ya kuzuiliwa hotelini walipofikia kwa madai ya kudaiwa fedha kutokana na waandaaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani