Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBABE: Polisi wavamiwa Lindi, mtuhumiwa auawa

>Kundi la vijana wasiofahamika kutoka mjini Liwale, mkoani Lindi, wamevamia Kituo cha Polisi Lionja na kuwazidi nguvu askari, kabla ya kumtorosha mtuhumiwa wa mauaji na kisha kumuua na mwili wake kuuchoma moto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ujambazi auawa

MTU anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu mkazi wa Kitongoji cha Chanji, mjini Sumbawanga, amekufa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali. Mtuhumiwa huyo Denis Gagala maarufu kama ’Babyloon’ (31) anadaiwa kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa auawa baada ya kushindwa kujieleza

MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa matukio ya ugaidi auawa Arusha

Mtu anayedaiwa kuwa kiongozi mkuu wa kundi la watu wanaohusika na matukio ya milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini ameuawa kwa kupigwa risasi na jeshi la polisi.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa matukio ya kigaidi Arusha auawa

MTUHUMIWA wa ugaidi, Yahaya Hassan Hela (31) maarufu kwa jina la Yahaya Sensei, ambaye inadaiwa kuwa ni kinara na mwasisi wa matukio tisa ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji wa tindikali maeneo mbalimbali nchini, ameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa wa ujambazi na mauaji auawa na wananchi

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa
Mkazi wa kitongoji cha Nyahongo kilichoko kijiji cha Nyarwana wilayani Tarime mkoani Mara aliyekuwa akisakwa na polisi kwa tuhuma za ujambazi na mauaji ameuawa na wananchi katika shambulizi ambalo lililojeruhi wanakijiji watatu.

Wambura Kihongwe (40) ameuawa na wananchi kwa kukatwa mapanga kichwani na sehemu mbalimbali za mwili huku naye akiwajeruhi watu watatu waliojaribu kumkamata ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Kamanda wa Polisi Tarime...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unyama, ubabe wa polisi

ASKARI polisi Kituo cha Msimbazi, Wilaya ya Kipolisi Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameingia katika tuhuma za kumkamata, kumpiga na kisha kumvunja mikono yote Kulwa Kitange (40), mkazi wa Kigamboni,...

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba kumwona JK kuhusu ubabe wa polisi

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema anatarajia kwenda Ikulu kumwona Rais Jakaya Kikwete ili kumweleza mambo mbalimbali ikiwamo ubabe na upendeleo unaofanywa na polisi.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waua mtuhumiwa Arusha

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasMTUHUMIWA namba mbili wa ujambazi wa kuua na kupora wanawake jijini hapa kwa kutumia pikipiki, Wenceslaus Matei (32) amekufa kufuatia majeraha aliyoyapata wakati akijibizana risasi na Polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani