Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waua mtuhumiwa Arusha

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasMTUHUMIWA namba mbili wa ujambazi wa kuua na kupora wanawake jijini hapa kwa kutumia pikipiki, Wenceslaus Matei (32) amekufa kufuatia majeraha aliyoyapata wakati akijibizana risasi na Polisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi Arusha afariki mikononi mwa polisi

Hatimaye Abdulkarimu Thabiti Hasia aliyekuwa akituhumiwa kwa ugaidi, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru alipokuwa amelazwa kwa miezi sita akiwa mikononi wa polisi.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa matukio ya kigaidi Arusha auawa

MTUHUMIWA wa ugaidi, Yahaya Hassan Hela (31) maarufu kwa jina la Yahaya Sensei, ambaye inadaiwa kuwa ni kinara na mwasisi wa matukio tisa ya ulipuaji wa mabomu na umwagiaji wa tindikali maeneo mbalimbali nchini, ameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa matukio ya ugaidi auawa Arusha

Mtu anayedaiwa kuwa kiongozi mkuu wa kundi la watu wanaohusika na matukio ya milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali viongozi wa dini ameuawa kwa kupigwa risasi na jeshi la polisi.

 

10 years ago

GPL

MTUHUMIWA KINARA WA MAUAJI YA POLISI

Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1GWYmRq ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa kinara mauaji ya polisi


Kinara, Selemani Shabani Ulatule.
Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga,GPL
WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule.
ENEO LA TUKIO
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wanahabari wetu walifika katika Kijiji cha Mandikongo, Mkuranga, Pwani na wakazi wa maeneo ya...

 

9 years ago

GPL

MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!

Mtuhumiwa  huyo akiwa kituoni. Na Makongoro Oging’ HALI tete! Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar lilifanikiwa kumdhibiti mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kufuatia madai ya kuvamia Kituo cha Polisi Charambe akiwa na panga. Habari zilizopatikana kutoka kwa raia wa eneo hilo ambao walimtafsiri mtu huyo kama gaidi kutokana na ujasiri wake wa kuvamia kituo kwa mapanga kwa lengo la kutaka kuwajeruhi askari...

 

10 years ago

StarTV

Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.

Na Salma Mrisho,

Geita.

Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.

 

Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.

 

Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wadaiwa fedha za mtuhumiwa

p>SAKATA la Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga mkoani Tabora (OCS), SP Edson Mafuru, kudaiwa kumtorosha mtuhumiwa  Magaka Singu aliyempa mimba mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani