Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.

Na Salma Mrisho,

Geita.

Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.

 

Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.

 

Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

FIFA;mtuhumiwa ajisalimisha kwa polisi Italia

Mfanyibiashara mmoja aliyekuwa miongoni mwa watu 14 waliotajwa katika kashfa ya rushwa ya FIFA amejisalimisha kwa polisi nchini Italia

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chadema ajisalimisha polisi

Aliyetarajiwa kuwa mgombea wa udiwani wa Kata ya Mtae wilayaniLushoto kupitia Chadema na kutojitokeza kurejesha fomu hatimaye ajisalimisha polisi.

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI

Mchungaji Josephat Gwajima. MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima leo amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Gwajima alirekodiwa kwenye ibada ya kanisa lake Jumapili iliyopita ambapo ‘alimtusi’ Pengo akituhumu kuwa ni msaliti kwani amekwenda kinyume na...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Lema ajisalimisha Polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima ajisalimisha polisi, atakiwa kwa DC

>Wakati  Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka aripoti ofisini kwake keshokutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini.

 

11 years ago

GPL

BILIONEA LAKE OIL AJISALIMISHA POLISI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ BILIONEA mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mafuta Lake Oil, Ally Edna Awadh, aliyekuwa akitafutwa na Polisi kwa kosa la kushambulia na kujeruhi, hatimaye amejitokeza na kujisalimisha ofisi ya upelelezi Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyakazi wa Bilionea Lake Oil, Ally Edna Awadh aliyejeruhiwa na boss wake. Chanzo chetu cha kuaminika...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama

>Shughuli za kiserikali katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi jirani, jana zilisimama kwa siku nzima kutokana na hekaheka zilizoibuka baina ya polisi na wafuasi wa Chadema pale mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alipojisalimisha polisi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa wa ugaidi ajisalimisha kwa polisi Kenya

Mmoja wa washukiwa wanne wa ugaidi waliokwepa msako wa polisi mjini Mombasa Jumatatu amejisalimisha kwa polisi akisindikizwa na babake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani