Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama

>Shughuli za kiserikali katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi jirani, jana zilisimama kwa siku nzima kutokana na hekaheka zilizoibuka baina ya polisi na wafuasi wa Chadema pale mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alipojisalimisha polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Shughuli zasimama kusubiri matokeo

Shughuli mbalimbali za kibiashara jana zilisimama katikati ya Jiji la Mwanza baada ya wafanyabiashara kufunga maduka wakihofia kutokea vurugu wakati wa kutangaza matokeo ya wagombea ubunge wa Jimbo la Nyamagana na Ilemela.

 

9 years ago

Mwananchi

Shughuli zasimama Wete mapokezi ya Seif Sharif Hamad

Shughuli za biashara katika Mji wa Wete kisiwani hapa jana zilisimama kwa muda baada ya umati kujitokeza barabarani kumpokea mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Seif Sharif Hamad.

 

10 years ago

StarTV

Shughuli zasimama kwa muda Stendi ya mabasi Singida.

Na Emmanuel Michael,

Singida.

Shughuli mbalimbali katika Stendi kuu ya mabasi Mjini Singida, jana zilisimama kwa zaidi ya saa tano, baada ya wapigadebe na mawakala kufunga kwa lundo la mawe lango la kuingilia katika kituo hicho.

 

Hatua hiyo ilichukuliwa kama moja ya njia za kuushinikiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, kukifanyia matengenezo kipande cha barabara ya kuingia katika kituo hicho chenye mashimo makubwa na kuweka lami pamoja na ukarabati wa miundombinu mingine...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chadema ajisalimisha polisi

Aliyetarajiwa kuwa mgombea wa udiwani wa Kata ya Mtae wilayaniLushoto kupitia Chadema na kutojitokeza kurejesha fomu hatimaye ajisalimisha polisi.

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI

Mchungaji Josephat Gwajima. MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima leo amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Gwajima alirekodiwa kwenye ibada ya kanisa lake Jumapili iliyopita ambapo ‘alimtusi’ Pengo akituhumu kuwa ni msaliti kwani amekwenda kinyume na...

 

10 years ago

StarTV

Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.

Na Salma Mrisho,

Geita.

Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.

 

Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.

 

Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Lema ajisalimisha Polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima ajisalimisha polisi, atakiwa kwa DC

>Wakati  Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka aripoti ofisini kwake keshokutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini.

 

10 years ago

GPL

BILIONEA LAKE OIL AJISALIMISHA POLISI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ BILIONEA mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mafuta Lake Oil, Ally Edna Awadh, aliyekuwa akitafutwa na Polisi kwa kosa la kushambulia na kujeruhi, hatimaye amejitokeza na kujisalimisha ofisi ya upelelezi Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyakazi wa Bilionea Lake Oil, Ally Edna Awadh aliyejeruhiwa na boss wake. Chanzo chetu cha kuaminika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani