Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shughuli zasimama kwa muda Stendi ya mabasi Singida.

Na Emmanuel Michael,

Singida.

Shughuli mbalimbali katika Stendi kuu ya mabasi Mjini Singida, jana zilisimama kwa zaidi ya saa tano, baada ya wapigadebe na mawakala kufunga kwa lundo la mawe lango la kuingilia katika kituo hicho.

 

Hatua hiyo ilichukuliwa kama moja ya njia za kuushinikiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, kukifanyia matengenezo kipande cha barabara ya kuingia katika kituo hicho chenye mashimo makubwa na kuweka lami pamoja na ukarabati wa miundombinu mingine...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TYEC MKOA WA SINGIDA YATOA ELIMU STENDI YA MABASI NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA

Mratibu wa Kamati ya Programu ya mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona kutoka TYEC Mkoa wa Singida, Stella Mwagowa (kulia) akitoa elimu ya namna ya kujikinga na Virusi vya Corona kwa Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani pamoja na wafanyakazi wa mabasi katika stendi kuu ya mabasi mkoani hapa. Macmillan Marco, kutoka TYEC  akitoa elimu hiyo kwa abiria ndani ya basi.
 Mmoja wa Wanajumuiya ya TYEC, Richard  Assey, akionesha namna ya kujipaka Sanitizer kwa ajili ya kujikinga na Virusi...

 

9 years ago

Mwananchi

Shughuli zasimama kusubiri matokeo

Shughuli mbalimbali za kibiashara jana zilisimama katikati ya Jiji la Mwanza baada ya wafanyabiashara kufunga maduka wakihofia kutokea vurugu wakati wa kutangaza matokeo ya wagombea ubunge wa Jimbo la Nyamagana na Ilemela.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama

>Shughuli za kiserikali katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi jirani, jana zilisimama kwa siku nzima kutokana na hekaheka zilizoibuka baina ya polisi na wafuasi wa Chadema pale mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alipojisalimisha polisi.

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma. Kutokana na mgomo huo ndipo madereva wa magari hayo na makondakta wakaamua kugeuza stendi hiyo uwanja wa mpira wa miguu likapigwa mbungi kati ya madereva na makondakta. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mwananchi

Shughuli zasimama Wete mapokezi ya Seif Sharif Hamad

Shughuli za biashara katika Mji wa Wete kisiwani hapa jana zilisimama kwa muda baada ya umati kujitokeza barabarani kumpokea mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Seif Sharif Hamad.

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA MATEI,AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA STENDI, AZUIA SAFARI KWA BAADHI YA MABASI YA ABIRIA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matai, leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za usajili...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI STENDI YA UBUNGO

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha vitawajia hivi punde.

 

11 years ago

Habarileo

Bilioni 1/- kujenga stendi ya mabasi Kishapu

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeanza ujenzi wa stendi ya mabasi ya abiria katika eneo la kijiji cha Isoso unaogharimu jumla ya Sh bilioni moja.

 

10 years ago

Habarileo

Mgambo stendi ya mabasi Tabora lawamani

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan KagandaJESHI la Polisi mkoani Tabora limewakana askari mgambo walioko stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani ambao wanadaiwa kugeuka kero kwa kamatakamata na kuomba rushwa watu wenye baiskeli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani