TYEC MKOA WA SINGIDA YATOA ELIMU STENDI YA MABASI NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA
Mratibu wa Kamati ya Programu ya mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona kutoka TYEC Mkoa wa Singida, Stella Mwagowa (kulia) akitoa elimu ya namna ya kujikinga na Virusi vya Corona kwa Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani pamoja na wafanyakazi wa mabasi katika stendi kuu ya mabasi mkoani hapa. Macmillan Marco, kutoka TYEC akitoa elimu hiyo kwa abiria ndani ya basi.
Mmoja wa Wanajumuiya ya TYEC, Richard Assey, akionesha namna ya kujipaka Sanitizer kwa ajili ya kujikinga na Virusi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA MKOA WA SINGIDA LATOA ELIMU NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA
Afisa wa Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa...
5 years ago
MichuziVodacom Tanzania yatoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC. makao makuu Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Dkt. Ismail Gatalya wakati akitoa elimu na mafunzo kwa wafanyakazi hao juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
5 years ago
MichuziWANANCHI SINGIDA WALIPONGEZA SHIRIKA LA SEMA KWA UTOAJI ELIMU YA KUJIKINGA VIRUSI VYA CORONA
Amani Twaha, akitoa elimu.
Elimu ikitolewa kwa wasafisha viatu.
Witness Anderson, akitoa elimu kwa muuza mitumba.
Ipyana Mwakyusa akitoa elimu hiyo kwa madereva wa bajaj.
Mary Kilimba (kulia) na Veronica Peter wakitoa elimu hiyo kwa njia ya mabango.
Wananchi wakiwa wamevaa barakoa kujikinga na Corona.
Tatu Muna, akizungumzia kuhusu Corona.
Maafisa wa Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa Singida, Mary Kilimba (kushoto) na Veronica ...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWA ASKARI POLISI WA MKOA WA SINGIDA
5 years ago
MichuziWILAYA YA MANYONI MKOANI SINGIDA WAPELEKEWA ELIMU KUJIKINGA VIRUSI VYA COVID-19
Afisa wa Shirika la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Singida , Witness Anderson akionesha namna ya kunawa kwa usahihi kwa wananchi waliokuwa Stendi ya Mabasi ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida juzi, wakati wa kampeni ya utoaji elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Corona iliyofanywa na shirika hilo kwa kushirikiana na Shirika la Empower Youth Prosperity ( EYP) ya mkoani Mbeya kwa ufadhili wa Shirika la Stromme East Africa Foundation lenye Makao Makuu Kampala nchini Uganda...
5 years ago
MichuziNjombe:Wataalamu wazunguka Stendi,Sokoni kutoa elimu ya virusi vya Corona
Na Amiri kilagalila,Njombe
Kufuatia uwepo ugonjwa wa virusi vya Corona nchini Tanzania,halmashauri ya mji Njombe imeanza kutoa elimu kwa wananchi wa halmashauri hiyo ili kuweza kuchukua hatua stahiki za kuepukana na maambukizi zaidi ambapo Idara ya afya imeanza kutoa elimu katika maeneo ya stendi,masoko,taasisi za kifedha na hoteli kuhusu dalili na njia za kujikinga na virusi hao.
Mganga mkuu wa halmashauri ya mji wa Njombe Dkt.Yesaya Mwasubila amewataka wananchi kuhakikisha kuwa wananawa...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA
Mtoto Samia Selemani akinawa mikono wakati wa kampeni ya utoaji elimu ya namna ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona Ilongero Wilaya ya Singida Vijijini mkoani hapa jana. Kampeni hiyo ilifanywa na Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) kwa kushirikiana na wadau kutoka Taasisi ya Empower Youth Prosperity ( EYP) ya mkoani Mbeya kwa ufadhili wa Shirika la Stromme East Africa Foundation lenye Makao Makuu Kampala nchini Uganda huku...
5 years ago
MichuziBENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: TANZANIA IMEANZA KUPATA MAAMBUKIZI YA NDANI YA VIRUSI VYA CORONA, ITABIDI TUFANYE TAHADHARI ZAIDI KUJIKINGA KWA KUVAA MASKI