Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shughuli zasimama kusubiri matokeo

Shughuli mbalimbali za kibiashara jana zilisimama katikati ya Jiji la Mwanza baada ya wafanyabiashara kufunga maduka wakihofia kutokea vurugu wakati wa kutangaza matokeo ya wagombea ubunge wa Jimbo la Nyamagana na Ilemela.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama

>Shughuli za kiserikali katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi jirani, jana zilisimama kwa siku nzima kutokana na hekaheka zilizoibuka baina ya polisi na wafuasi wa Chadema pale mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alipojisalimisha polisi.

 

10 years ago

StarTV

Shughuli zasimama kwa muda Stendi ya mabasi Singida.

Na Emmanuel Michael,

Singida.

Shughuli mbalimbali katika Stendi kuu ya mabasi Mjini Singida, jana zilisimama kwa zaidi ya saa tano, baada ya wapigadebe na mawakala kufunga kwa lundo la mawe lango la kuingilia katika kituo hicho.

 

Hatua hiyo ilichukuliwa kama moja ya njia za kuushinikiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, kukifanyia matengenezo kipande cha barabara ya kuingia katika kituo hicho chenye mashimo makubwa na kuweka lami pamoja na ukarabati wa miundombinu mingine...

 

9 years ago

Mwananchi

Shughuli zasimama Wete mapokezi ya Seif Sharif Hamad

Shughuli za biashara katika Mji wa Wete kisiwani hapa jana zilisimama kwa muda baada ya umati kujitokeza barabarani kumpokea mgombea urais wa Zanzibar (CUF), Seif Sharif Hamad.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Biashara Mwanza zasimama saa tano

MSUGUANO kati ya Wafanyabiara wadogo (Machinga), na Polisi mkoani Mwanza umezidi baada ya jana shughuli za biashara kusimama zaidi ya saa tano. Sakata hilo lililoanza kufukuta majira ya saa sita...

 

10 years ago

Vijimambo

KAZI ZASIMAMA JIJINI DAR KUPISHA LOWASSA ACHUKUE FOMU YA KUWANIA URAIS

MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa amechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuwania nafasi hiyo leo Jumatatu Agosti 10, 2015.
Msafara wa Mgombea huyo ulioanzia kwenye Ofisi za Chama cha Wananchi CUF Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za CHADEMA Kinondoni Jijini Dar es salaam na kupelekea msongamano mkubwa wa watu ambao wengi wao ni wafuasi wakuu wa vyama vinavyounda...

 

10 years ago

GPL

ACHA HARAKA, JIFUNZE KUSUBIRI?

NIANZE kwa kuwatakia siku njema ya Jumatano ya kwanza kabisa ya Desemba, ikiwa ni ishara kwamba mwisho wa mwaka unakaribia. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba tumekuwa miongoni mwa waliochaguliwa kuuona mwezi huu, ingawa yatupasa tuombe sana ili tuumalize. Maana mnajua kwa kiasi gani wapendwa wetu walivyopotea na hatutawaona tena. Mada yangu leo kama unavyoweza kuiona hapo juu kwenye kichwa chake cha habari, inawazungumzia zaidi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaojipitisha kusaka uongozi watakiwa kusubiri


NA MWANDISHI WETU
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya CCM,  Dk. Edmund Mndolwa, amesema viongozi wanaojipitisha kwa ajili ya kutaka uongozi ndani ya chama, wanawachanganya wananchi, hivyo wasubiri muda ufike.
Aidha, amewataka baadhi ya viongozi wa CCM, wanaowatumia viongozi wa dini kuwatetea wakati wanapokosolewa, kuacha mara moja tabia hiyo.
Dk. Mndolwa alisema hayo mjini Dar es Salaam, jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema muda wa kupata wagombea ndani ya chama...

 

5 years ago

Michuzi

Kusubiri Kumekwisha, Ligi ya Primia Imerejea!

 BAADA ya kusubiri kwa miezi mitatu kwa wapenzi na mashabiki vindaki ndaki kutoka pande zote  Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea rasmi leo.  Mchezo wa kongwe na wa kufurahisha zaidi unawarudisha wakali halisi mchezoni, na Meridianbet imejali burudani hii na kukuletea odds bora kwa ajili yako. Shindano la Ligi Kuu Uingereza ni la kipekee na lina machaguo zaidi ya 9000 za kwa ajili yako!
Ni kwa Meridianbet pekee, utapata mechi 92 za SOKA BORA UINGEREZA ambazo zitachezwa mwezi ujao na nusu. Na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani