Wanaojipitisha kusaka uongozi watakiwa kusubiri
NA MWANDISHI WETU
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya CCM, Dk. Edmund Mndolwa, amesema viongozi wanaojipitisha kwa ajili ya kutaka uongozi ndani ya chama, wanawachanganya wananchi, hivyo wasubiri muda ufike.
Aidha, amewataka baadhi ya viongozi wa CCM, wanaowatumia viongozi wa dini kuwatetea wakati wanapokosolewa, kuacha mara moja tabia hiyo.
Dk. Mndolwa alisema hayo mjini Dar es Salaam, jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema muda wa kupata wagombea ndani ya chama...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
UONGOZI MPYA WA KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAKA UPYA MAWAKALA WA MIKOA

--------------------------------------------------------------Kamati ya Miss Tanzania...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Vijana watakiwa kuwania uongozi
NAIBU Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, Innocent Melleck, ametabiri kuwa mwaka ujao wa uchaguzi utakuwa ni wa vijana na...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanawake watakiwa kuwania uongozi majimboni
CHAMA cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kimewakata wanawake wenzao kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali badala ya kusubiri nafasi za uteuzi. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Makamu Mwenyekiti wa chama...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
Vijana Kibaha watakiwa kugombea uongozi
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kibaha Mjini, kimewataka vijana kuthubutu kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika ucaguzi ujao wa Chama na serikali.
Mwenyekiti wa UVCCM Kibaha Mjini, Idd Kanyalu, aliyasema hayo juzi, katika eneo la Mzizizma Zegereni, kata ya Visiga, alipokuwa akizungumza na wananchi, wakati wa ziara ya kamati ya maboresho inayolenga kukagua uhai wa jumuia hiyo.
Kanyalu aliwaasa vijana hao kujipanga kwenye mchakato wa uchaguzi...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Wahitimu watakiwa kugombea nafasi za uongozi
WAHITIMU Nchini, wametakiwa kutumia taaluma yao kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ngazi za chini ili kuleta maendeleo katika jamii. Rai hiyo imetoleawa jana na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara,...
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Wanawake DRC: watakiwa kugombea uongozi
9 years ago
Habarileo07 Nov
Waandishi walioshinda uongozi watakiwa kuacha kazi
MUUNGANO wa Klabu za Waandishi wa Habari Nchini (UTPC), umewataka waandishi wa habari walioshinda nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwemo ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni, wajitokeze hadharani kuutangazia umma kuwa sasa wanaachana na kazi za uandishi wa habari.
10 years ago
MichuziWANAWAKE WATAKIWA KUJIAMINI KATIKA NAFAZI ZAO ZA UONGOZI -KAIRUKI
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
‘Msiwabebe wanaojipitisha majimboni’
NA MWANDISHI WETU, MUFINDI
HALMASHAURI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, imewataka viongozi wa matawi na kata kutokubali kuwabeba baadhi ya wanachama walioanza kujipitisha kwenye majimbo, kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani.
Katibu wa CCM wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu, alisema hayo wakati akisoma maazimio ya halmashauri hiyo, iliyokuwa na lengo la kupokea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
Alisema ni kosa kikanuni kuanza...