Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UONGOZI MPYA WA KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAKA UPYA MAWAKALA WA MIKOA

Kutoka maktaba: Shindano la Miss Tanzania la kwanza mwaka 1967 ambapo mshindi aliibuka Theresa Shayo (No. 5) na ambalo lilikuwa la mwisho baada ya serikali kulipiga marufuku kwa kile kilichoitwa kukiuka maadili ya Mtanzania. Mwaka 2004 Miss Tanzania ikaibuka na mshindi alikuwa Ainda Maeda. Mwaka jana shindano hilo lilifungiwa kwa muda kabla ya Baraza la Sana la Taifa kuruhusu liendelee tena hivi karibuni.
--------------------------------------------------------------Kamati ya Miss Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAJILI MAWAKALA WAPYA

Juma Pinto Mwenyekiti Miss TanzaniaKamati ya Miss Tanzania inapenda kuwatangazia wadau wote wanaotaka kuandaa Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwa mwaka 2016 kutuma maombi yao ya uwakala kuanzia sasa hadi tarehe 30 Novemba 2015 ndio mwisho wa kupokea maombi hayo.
 Mashindano yatakayo fanyika ni ya mikoa tu, hakutakuwa na mashindano katika ngazi ya kitongoji, wilaya wala Kanda. Sifa za kuwa Wakala wa Miss Tanzania ni pamoja na 1)      Uwe na Kampuni iliyosajiliwa na Mamlaka husika ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

9 years ago

Bongo5

Kamati mpya ya Miss Tanzania yatambulishwa, wamo warembo Jokate Mwegelo na Hoyce Temu

Kamati mpya ya Miss Tanzania imetambulishwa rasmi leo August 27, 2015, na miongoni mwa wajumbe yumo Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu pamoja na Jokate Mwegelo ambaye ni msemaji wa kamati hiyo. Mabadiliko hayo yamekuja wiki moja toka Baraza La Sanaa la Taifa, BASATA kulifungulia shindano hilo lililofungiwa kwa miaka miwili. “Kwa niaba ya kamati mpya […]

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya Taifa ya Uongozi ya TASAF yaanza kukagua miradi Mkoani Ruvuma

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko akitoa ufafanuzi juu ya utekelezaji wa miradi ya TASAF katika halmashauri za wilaya na Manispaa Mkoani Ruvuma kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya TASAF Abbas Kandoro, ambaye ameongoza wajumbe wa kamati hiyo kukagua miradi iliyotekelezwa na TASAF kwa kushirikiana na wananchi katika Mkoa wa Ruvuma.  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya TASAF Abbas Kandoro akisisitiza jambo kwa viongozi (hawapo pichani) wa...

 

11 years ago

Michuzi

ORODHA YA MAWAKALA REDDS MISS TANZANIA 2014

Napenda kuwajulisha kwamba Semina ya Mawakala wanaoandaa mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2014 inafanyika kesho tarehe 25 na 26 Machi 2014, katika ukumbi wa hotel ya Regency Park iliyopo Mikocheni jijini DSM.  Semina hii ambayo itajumuisha Mawakala zaidi ya 70 kutoka Kanda, Wilaya, Vyuo na Mikoa yote ya Tanzania itawapa nafasi Mawakala kujadili Mafanikio na Changamoto za mashindano haya ambayo kwa mwaka huu yanatimiza miaka 20 tangu yaanzishwe mwaka 1994.  Kwa mara nyingine...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Waandaaji Miss Tanzania wajitathmini upya

>Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Lino International Agency Ltd, Hashim Lundenga juzi alikutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kuthibitisha kupokea barua ya Sitti Mtemvu ya kujivua taji la Miss Tanzania 2014.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yaanza mchakato wa kusaka wenye sifa za kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

CCM

Muonekano wa jengo la Ofisi ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wana-CCM wote wenye sifa husika. 

Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;-

Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Kamati ya Bloggers Tanzania Yaanza Kujadili Rasimu

  Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa mitandao ya jamii Tanzania ya kujadili rasimu ya Katiba ya umoja huo Dar es Salaam leo. Majadiliano hayo yameanza jana kujadili rasimu ya katiba kabla ya kuipitisha kwa hatua za usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers).  Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo ya muda kutoka...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati Miss Tanzania yatetewa

Wadau na waandaaji wa mashindano ya ulimbwende nchini, wameitetea Kamati ya Miss Tanzania kwa kusema kuwa uamuzi uliochukuliwa na serikali wa kuyafungia kwa miaka miwili, utawaathiri wengi tofauti na inavyodhaniwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani