Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Waandaaji Miss Tanzania wajitathmini upya

>Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Lino International Agency Ltd, Hashim Lundenga juzi alikutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kuthibitisha kupokea barua ya Sitti Mtemvu ya kujivua taji la Miss Tanzania 2014.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAANDAAJI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2014 WAPIGWA MSASA

Baadhi ya mawakala wa shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakiwa  katika semina ya siku mbili juu ya namna ya ufanyanyaji wa mashindano hayo mwaka huu jijini Dar es Salaam jana. Shindano la Miss Tanzania linadhaminiwa na Kinywaji cha Redd's Original.…

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Original yawapiga msasa waandaaji wa shindano la Miss Tanzania 2014

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ndio waandaaji wa shindano la Redds Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na mawakala wa shindano hilo Dar es Salaam jana katika semina ya seku mbili. Katikati ni Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa na Mshindi wa pili, Latifa Mohamed. Shindano la Miss Tanzania linadhaminiwa na Kinywaji cha Redd's Original.    Baadhi ya mawakala wa shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakiwa  katika semina ya siku mbili juu ya namna...

 

9 years ago

Michuzi

UONGOZI MPYA WA KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAKA UPYA MAWAKALA WA MIKOA

Kutoka maktaba: Shindano la Miss Tanzania la kwanza mwaka 1967 ambapo mshindi aliibuka Theresa Shayo (No. 5) na ambalo lilikuwa la mwisho baada ya serikali kulipiga marufuku kwa kile kilichoitwa kukiuka maadili ya Mtanzania. Mwaka 2004 Miss Tanzania ikaibuka na mshindi alikuwa Ainda Maeda. Mwaka jana shindano hilo lilifungiwa kwa muda kabla ya Baraza la Sana la Taifa kuruhusu liendelee tena hivi karibuni.
--------------------------------------------------------------Kamati ya Miss Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Uchunguzi ufanyike utata wa umri wa Miss Tanzania

>Leo katika tovuti hii tumetoa habari inayoeleza kuwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), wameamua kuunda tume maalumu kuchunguza sakata la Miss Tanzania 2014,  Sitti Mtemvu.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Tuboreshe ngazi za chini Mashindano ya Miss Tanzania

>Mashindano ya Redds Miss Tanzania 2014 yamezinduliwa rasmi juzi huku wadhamini wa mashindano hayo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakitenga Sh500 milioni kwa ajili kufanikisha mashindano hayo katika ngazi za chini.

 

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO.
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT   MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!‏

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM ...

 

10 years ago

Vijimambo

CHETI CHA KUZALIWA CHA MISS TANZANIA KILITOLEWA SIKU 4 KABLA YA KAMBI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA KUANZA


Mkurugenzi wa kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kulia) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kilichoandikwa amezaliwa mwaka 1991 wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha: Omar Fungo

Sakata la umri halisi wa mrembo mpya wa Tanzania mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu bado linaendelea kuchukua sura mpya baada ya mshindi huyo wa taji la taifa kuwasilisha cheti cha kuzaliwa ambacho kimetolewa siku...

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2013 JETS INTO LONDON TO FOR THE MISS WORLD PAGEANT

Miss Tanzania Happiness Watimanywa signs the guests book at the Tanzania High Commission in London as the High Commissioner H.E Ambassador Peter Kallaghe looks on. The Tanzania High Commissioner to the UK H.E Ambassador Peter Kallaghe hands over the national flag to Miss Tanzania Happiness Watimanywa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani