Redd's Original yawapiga msasa waandaaji wa shindano la Miss Tanzania 2014
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ndio waandaaji wa shindano la Redds Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na mawakala wa shindano hilo Dar es Salaam jana katika semina ya seku mbili. Katikati ni Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa na Mshindi wa pili, Latifa Mohamed. Shindano la Miss Tanzania linadhaminiwa na Kinywaji cha Redd's Original.
Baadhi ya mawakala wa shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakiwa katika semina ya siku mbili juu ya namna...
Michuzi