Wanawake watakiwa kuwania uongozi majimboni
CHAMA cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kimewakata wanawake wenzao kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali badala ya kusubiri nafasi za uteuzi. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Makamu Mwenyekiti wa chama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Vijana watakiwa kuwania uongozi
NAIBU Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, Innocent Melleck, ametabiri kuwa mwaka ujao wa uchaguzi utakuwa ni wa vijana na...
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
10 years ago
Habarileo30 Jul
Samia afurahishwa wanawake kuwania uongozi
MGOMBEA Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan ameelezea kufurahishwa na juhudi za wanawake Zanzibar kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo ya uchaguzi na kwamba wameonesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Wanawake DRC: watakiwa kugombea uongozi
10 years ago
MichuziWANAWAKE WATAKIWA KUJIAMINI KATIKA NAFAZI ZAO ZA UONGOZI -KAIRUKI
5 years ago
MichuziMBUNGE YOSEPHER AWAPA MBINU WANAWAKE WANAOTAKA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia Chama hicho Yosepher Komba akiwa na...
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA IRINGA TUMAINI MSOWOYA AWAOMBA WANAWAKE KUJITOKEZA KUWANIA UONGOZI
Na Fredy Mgunda, IringaWakati watanzania tunaanzimisha...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Wanawake 22 waliotikisa majimboni
5 years ago
MichuziSHERIA ZA UCHAGUZI ZINAZOJIKITA KWENYE MRENGO WA JINSI YA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI,WENYE AZMA YA UPATIKANAJI WA HAKI ZA WANAWAKE.
Na.Vero Ignatus.
Mtandao wa wanawake,Katiba,Uongozi na Uchaguzi,kwa udhamini wa mfuko wa wanawake Tanzania(WFT)hivi karibuni uliendesha mada ya uchambuzi wa sheria tano za uchaguzi zilizojikita kwenye wa mrengo wa jinsi ya ushiriki wa wanawake katika uongozi unaolenga kwenye azma ya upatikanaji wa haki za wanawake na ujenzi wa nguvu za pamoja katika kuendeleza utetezi wa ukombozi wa kimapinduzi
Mkutano huo ulifanyika kwa njia ya mtandao wa zoom ulioendeshwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko...