Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE YOSEPHER AWAPA MBINU WANAWAKE WANAOTAKA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU

  Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (Chadema) na Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini  Yosepher Komba  akizungumza na washiriki wa semina maalumu kwa wasichana mkoani Tanga  iliyoandaliwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali la Wanawake na Uongozi yenye makao makuu yake Jijini Dar es Saalam
 Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia Chama hicho Yosepher Komba akiwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kuwania nafasi uchaguzi serikali za mitaa

WANAWAKE kote nchini wamehimizwa kuacha malumbano na kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI UJAO

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Nachingwea
Wanawake nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea  nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji  utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu  ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi. 
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanachama wa chama hicho wa wilaya ya Nachingwea...

 

5 years ago

Michuzi

ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMBUNGE wa Kigoma mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amechukua fomu ya kugombea nafasi ya kutetea kiti cha uongozi wa  Chama cha ACT Wazalendo kwa mhula wa pili na wa mwisho katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Machi mwaka huu.
 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya  kuchukua fomu hiyo muda mfupi  baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake wahamasishwa kuwania uongozi TZ

Wanawake visiwani Unguja wahamasishwa kuwania uongozi

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake gombeeni nafasi za uongozi

Tanzania ina hazina ya wanawake wenye uwezo katika masuala ya uongozi na vipaji vya kuhamasisha maendeleo siyo kwa wanawake pekee bali jamii kwa jumla.

 

10 years ago

Habarileo

Samia afurahishwa wanawake kuwania uongozi

MGOMBEA Mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan ameelezea kufurahishwa na juhudi za wanawake Zanzibar kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika majimbo ya uchaguzi na kwamba wameonesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake watakiwa kuwania uongozi majimboni

CHAMA cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kimewakata wanawake wenzao kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali badala ya kusubiri nafasi za uteuzi. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Makamu Mwenyekiti wa chama...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP

Mwanaharakati  wa TGNP  kutoa kijiji  cha   Ifiga kata ya Ijombe Mbeya  Bi . Flora Mathias Mlowezi akifafanua  jambo  wakati  wa mafunzo ya  wanahabari juu ya wajibu  wa  wanawake na  vijana kujitokeza katika kuwania nafasi za  uongoziwashiriki  wa  mafunzo ya  TGNP kwa  wanahabari wa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa  zikitolewa katika mafunzo  hayo.

BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani