Waandishi walioshinda uongozi watakiwa kuacha kazi
MUUNGANO wa Klabu za Waandishi wa Habari Nchini (UTPC), umewataka waandishi wa habari walioshinda nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwemo ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni, wajitokeze hadharani kuutangazia umma kuwa sasa wanaachana na kazi za uandishi wa habari.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Watakiwa kuacha kubweteka, wafanye kazi
NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
WAKAZI wa kata ya Mbugani jijini Mwanza, wametakiwa kujitolea ili kujiletea maendeleo badala ya kusubiri kufanyiwa kila kitu na serikali.
Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa
Mtaa wa Mabatini Kaskazini, Ntobi Boniface, alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, ambapo alisema kujituma huleta maendeleo katika jamii.
Alisema kuwepo changamoto hususan katika utengezaji wa barabara za mitaa, ujenzi wa maabara na miradi mingine ya maendeleo, ni kikwazo kwa...
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi
Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.
Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.
11 years ago
Mwananchi06 May
Watakiwa kuacha huduma za uzazi
10 years ago
Habarileo15 Dec
Madereva watakiwa kuacha kulewa
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Wenye maduka watakiwa kuacha mgomo
NAIBU wa Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba amewaagiza wafanyabiashara wafungue maduka wakati muafaka baina ya wizara na Jumuiya ya Wafanyabiara (JWT) ukiendelea na mazungumzo. Akitoa taarifa kwa waandishi...
11 years ago
Habarileo04 Mar
Watumishi watakiwa kuacha ugonjwa wa vikao
WATUMISHI wa umma kuanzia ngazi za Serikali za Mitaa hadi Serikali Kuu, wametakiwa kuacha ‘ugonjwa’ wa vikao, badala yake wakae ofisini kuwatumikia wananchi.
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Watakiwa kuacha kuhifadhi fedha majumbani
BODI ya Bima ya Amana imewataka wananchi kujenga utamaduni na kuendelea kuweka fedha benki, kwani ni njia salama na ina faida kiuchumi kwao na kwa nchi. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Watanzania watakiwa kuacha ngono zembe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya Virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean Bwanakunu (kulia).(Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Watanzania wametakiwa kuepukana vitendo vya kuhamasisha ngono zembe itakayosababisha maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean...