Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi
Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.
Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Bima nchini watakiwa kuacha ubinafsi
11 years ago
Habarileo24 Mar
Wajumbe bunge maalumu watakiwa kuacha ubinafsi, uchoyo
KUTOKANA na kuongezeka mivutano na mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imeshauriwa njia pekee ya kunusuru mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya ni wajumbe kuacha ubinafsi, uchoyo na misimamo ya kisiasa badala yake wajenge maridhiano.
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi
9 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania watakiwa kuacha uvivu wa fikra
Watanzania wametakiwa kuacha tabia ya kutawaliwa na uvivu na ufinyu wa fikra za kimaendeleo zinazowasababishia baadhi ya watu kutojihusisha na masuala ya maendeleo na kuishia katika vijiwe wakidai hakuna maendeleo nchini.
Akizungumza katika ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi salama Mchungaji John Masanyiwa amesema iwapo watanzania wanataka maendeleo ya kweli ni vyema wakajihamasisha katika shughuli za kimaendeleo zitakazowawezesha kupata fursa mbalimbali kwa viongozi...
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Watanzania watakiwa kuacha ngono zembe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya Virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean Bwanakunu (kulia).(Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Watanzania wametakiwa kuepukana vitendo vya kuhamasisha ngono zembe itakayosababisha maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean...
11 years ago
Habarileo04 Mar
'Watanzania acheni tamaa, ubinafsi'
WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuachana nxa ubinafsi kwa kuridhika na walichonacho. Pia, ametaka Watanzania kujiepusha na tamaa ya kile kidogo walichonacho watu wasio na uwezo.
11 years ago
Mwananchi06 May
Watakiwa kuacha huduma za uzazi
10 years ago
Habarileo15 Dec
Madereva watakiwa kuacha kulewa
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.