Watakiwa kuacha huduma za uzazi
 Ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, waganga wa jadi na tiba asilia wameombwa kujiepusha na utoaji huduma za uzazi kwa lengo la kujipatia fedha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Watoa huduma za afya watakiwa kuacha kuisingizia NHIF
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi
Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.
Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Madereva watakiwa kuacha kulewa
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wana CCM watakiwa kuacha woga
MUASISI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Leo Lwekamwa, ameibuka na kutoa maoni yake kuhusu muundo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasimu ya pili ya Katiba, kwa kuwataka wanachama wa...
10 years ago
Mtanzania12 Feb
CCM watakiwa kuacha siasa za vitisho
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja, amewataka baadhi ya viongozi wa chama hicho kuheshimu haki za wanachama na kuacha siasa za kibabe na kibaguzi kwa kuchunga kauli zao.
Pamoja na hilo, amewataka viongozi hao kutambua hakuna mtu mwenye hatimiliki ndani ya chama hicho ila kila mwanachama ana haki sawa ya kukipigania na kukijenga wakati wote.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mgeja alisema kumekuwa na mambo machafu...
11 years ago
Habarileo04 Mar
Watumishi watakiwa kuacha ugonjwa wa vikao
WATUMISHI wa umma kuanzia ngazi za Serikali za Mitaa hadi Serikali Kuu, wametakiwa kuacha ‘ugonjwa’ wa vikao, badala yake wakae ofisini kuwatumikia wananchi.
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Watakiwa kuacha kuhifadhi fedha majumbani
BODI ya Bima ya Amana imewataka wananchi kujenga utamaduni na kuendelea kuweka fedha benki, kwani ni njia salama na ina faida kiuchumi kwao na kwa nchi. Akizungumza na waandishi wa...
9 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania watakiwa kuacha uvivu wa fikra
Watanzania wametakiwa kuacha tabia ya kutawaliwa na uvivu na ufinyu wa fikra za kimaendeleo zinazowasababishia baadhi ya watu kutojihusisha na masuala ya maendeleo na kuishia katika vijiwe wakidai hakuna maendeleo nchini.
Akizungumza katika ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi salama Mchungaji John Masanyiwa amesema iwapo watanzania wanataka maendeleo ya kweli ni vyema wakajihamasisha katika shughuli za kimaendeleo zitakazowawezesha kupata fursa mbalimbali kwa viongozi...