Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM watakiwa kuacha siasa za vitisho

mgNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
MJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja, amewataka baadhi ya viongozi wa chama hicho kuheshimu haki za wanachama na kuacha siasa za kibabe na kibaguzi kwa kuchunga kauli zao.
Pamoja na hilo, amewataka viongozi hao kutambua hakuna mtu mwenye hatimiliki ndani ya chama hicho ila kila mwanachama ana haki sawa ya kukipigania na kukijenga wakati wote.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mgeja alisema kumekuwa na mambo machafu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wana CCM watakiwa kuacha woga

MUASISI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Leo Lwekamwa, ameibuka na kutoa maoni yake kuhusu muundo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasimu ya pili ya Katiba, kwa kuwataka wanachama wa...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi

Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.

Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...

 

10 years ago

Habarileo

Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuacha huduma za uzazi

 Ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, waganga wa jadi na tiba asilia wameombwa kujiepusha na utoaji huduma za uzazi kwa lengo la kujipatia fedha.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva watakiwa kuacha kulewa

MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Hotuba ya Dr. Wilbroad Slaa Kuacha Siasa

Hotuba ya Dr. Wilbroad Slaa Kuacha Siasa Written by Prof.Mbele http://hapakwetu.blogspot.ca/2015/09/hotuba-ya-dr-wilbroad-slaa-kuacha-siasa.html Kuhusu hotuba ya Dr. Slaa kwa waandishi wa habari akitangaza kuondokana na siasa, mengi muhimu yamesemwa na wenye upeo na tafakari nzito kunizidi. Ila nami […]

The post Hotuba ya Dr. Wilbroad Slaa Kuacha Siasa appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Habarileo

Watumishi watakiwa kuacha ugonjwa wa vikao

WATUMISHI wa umma kuanzia ngazi za Serikali za Mitaa hadi Serikali Kuu, wametakiwa kuacha ‘ugonjwa’ wa vikao, badala yake wakae ofisini kuwatumikia wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Bima nchini watakiwa kuacha ubinafsi

 Kampuni za bima nchini zimeaswa kuacha ubinafsi kama njia itakayoziwezesha kuongeza mitaji na hatimaye kufanya biashara kimataifa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watakiwa kuacha kuhifadhi fedha majumbani

BODI ya Bima ya Amana imewataka wananchi kujenga utamaduni na kuendelea kuweka fedha benki, kwani ni njia salama na ina faida kiuchumi kwao na kwa nchi. Akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani