Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoa huduma za afya watakiwa kuacha kuisingizia NHIF

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewataka watoa huduma za afya, kuwajibika kwa ufanisi na kuacha kutoa visingizio kuwa NHIF, inachelewesha kulipa fedha za wanachama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF YATAMBUA UMUHIMU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA.

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeipongeza Manispaa ya Ilala kwa kutoa huduma bora za afya kwa wanachama wa mfuko huo.
Akizungumza na waandishi wa habari, katika ufunguzi wa mkutano wa watoa huduma wa afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masoko,Elimu kwa Umma na Utafiti Othuman Rehani (Pichani)amesema kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatambua mchango mkubwa unaotolewa na watoa huduma za afya kwa wanachama...

 

10 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF ILI KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU

Kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Lindi Grayson Mwaigombe amewataka waganga wakuu wa hospitali kuanzia ya mkoa na wilaya,kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na NHIF,ili waweze kuboresha huduma na pia kuwa chanzo kingine cha mapato ya hospitali,kwani wananchi kwa sasa wanahitaji huduma bora na stahiki,aliyesema hayo wakati wa elimu ya uhamasishaji watoa huduma wa Serikali, mashirika ya dini na watu binafsi waliosajiliwa na mfuko,kuchangamkia fursa ya mikopo ya vifaa tiba,ukarabati wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuacha huduma za uzazi

 Ili kupunguza maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, waganga wa jadi na tiba asilia wameombwa kujiepusha na utoaji huduma za uzazi kwa lengo la kujipatia fedha.

 

11 years ago

Habarileo

Watoa huduma NHIF kukopeshwa bililioni 10/-

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeBODI ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeidhinisha Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuwakopesha watoa huduma ili waweze kupata vifaa tiba na kukarabati maeneo yao ya kutolea huduma.

 

11 years ago

Habarileo

NHIF yaonywa mikopo ya dawa kwa watoa huduma

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe StephenSERIKALI imeuonya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuwa makini na mpango inaotaka kuuanza katika mwaka ujao wa fedha wa kutoa mikopo ya dawa kwa watoa huduma wote waliosajiliwa.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA: Wazee watakiwa kuacha pombe, sigara

>Wazee wilayani hapa mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuachana na matumizi ya pombe na uvutaji wa sigara na kujiweka katika hali ya usafi ili waweze kuwa na afya bora na kuondokana na magonjwa yasiyo ya lazima.

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).

 Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance Ndyamkama akiongea na wafanyabiashara wa Kigoma jinsi ya kujiunga na mfuko huo Makamu mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Kigima(TCCIA) Sethi Naftari akisona hotuba ya wafanyabiashara kwa Mgeni rasmi Issa Machibya na maofisa mfuko wa bima ya afya Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.




Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yapongezwa kwa huduma za upimaji Afya bure

Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia kipeperushi cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kinachoelezea fao la wastaafu wakati alipotembelea banda la Mfuko huo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo Tengeru.  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa Sabi akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Kagenzi Trasias baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Maofisa wa NHIF kuhusiana na namna ya kujiunga na Mfuko huo kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu.  Ofisa wa NHIF, Paul...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani