Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoa huduma NHIF kukopeshwa bililioni 10/-

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis MdeeBODI ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeidhinisha Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuwakopesha watoa huduma ili waweze kupata vifaa tiba na kukarabati maeneo yao ya kutolea huduma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF ILI KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU

Kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Lindi Grayson Mwaigombe amewataka waganga wakuu wa hospitali kuanzia ya mkoa na wilaya,kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na NHIF,ili waweze kuboresha huduma na pia kuwa chanzo kingine cha mapato ya hospitali,kwani wananchi kwa sasa wanahitaji huduma bora na stahiki,aliyesema hayo wakati wa elimu ya uhamasishaji watoa huduma wa Serikali, mashirika ya dini na watu binafsi waliosajiliwa na mfuko,kuchangamkia fursa ya mikopo ya vifaa tiba,ukarabati wa...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YATAMBUA UMUHIMU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA.

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeipongeza Manispaa ya Ilala kwa kutoa huduma bora za afya kwa wanachama wa mfuko huo.
Akizungumza na waandishi wa habari, katika ufunguzi wa mkutano wa watoa huduma wa afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masoko,Elimu kwa Umma na Utafiti Othuman Rehani (Pichani)amesema kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatambua mchango mkubwa unaotolewa na watoa huduma za afya kwa wanachama...

 

11 years ago

Habarileo

NHIF yaonywa mikopo ya dawa kwa watoa huduma

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe StephenSERIKALI imeuonya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuwa makini na mpango inaotaka kuuanza katika mwaka ujao wa fedha wa kutoa mikopo ya dawa kwa watoa huduma wote waliosajiliwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Watoa huduma za afya watakiwa kuacha kuisingizia NHIF

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewataka watoa huduma za afya, kuwajibika kwa ufanisi na kuacha kutoa visingizio kuwa NHIF, inachelewesha kulipa fedha za wanachama.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa wa Temeke (NHIF),Constantine Makala akieleza jambo wakati wa kukabidhi mashuka 120 katika hospitali ya Temeke leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Edwin Muhondezi. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa waTemeke (NHIF), Constantine Makala akimuwakilisha kaimu  Mkurungenzi Mkuu wa (NHIF) wa mkoa wa Temeke kumkabidhi msaada wa mashuka 120 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Edwin Muhondezi...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF NA PSPF WATOA ELIMU KWENYE MKUTANO MKUU WA VIONGOZI WA CWT MKOA WA LINDI

 Meneja wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Fortunata Raymond akitoa elimu kuhusu maboresho yanayoendelea kufanywa na mfuko mbele ya viongozi na wawakilishi wa chama cha walimu mkoa wa Lindi,wakati wa mkutano wa mwaka wa chama hicho,ambapo alisema kwa sasa katika kukabiliana na changamoto ya huduma ya dawa mfuko umeanzisha mkopo wa dawa na vitendanishi kwa vituo vilivyosajiliwa na mfuko, ambapo bodi ya wakurugenzi iliridhia kutolewa kwa mikopo hiyo tangu mwezi Oktoba.2014.Mkutano huo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wastaafu wafurahia huduma za NHIF

BAADHI ya walimu wastaafu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kuwa na fao la wastaafu linalowapa uhakika wa matibabu...

 

9 years ago

Habarileo

NHIF yatangaza maboresho ya huduma

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kuboresha orodha ya huduma na gharama zinazolipwa kwa watoa huduma kwa ajili ya kufanikisha huduma hizo. Aidha, imefunga mfumo wa malipo wa elektroniki katika maduka yote ya dawa yaliyosajiliwa na NHIF ambao unaruhusu uchakataji wa madai ya dawa kwa kila siku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani